..za mechi au za Mazoezi..?

Dah :(

Haya Bana, Hepi Valentine kwenu ninyi mpendanao..
Mshikamane, msiudhiane, mpendane na mzae muijaze dunia.​


Na leo mtoto nimemchukulia WINE...hahahahaha....
 
Dah :(

Haya Bana, Hepi Valentine kwenu ninyi mpendanao..
Mshikamane, msiudhiane, mpendane na mzae muijaze dunia.

Happy Valentine tu yu tu.....
he!....mambo gani sasa hayo hapo kwenye blue.....?

 
Mkuu hapo penye red unaniangusha sasa, ina maana unabahatisha?​


Sibahatishi mkuu...ila lazima umshirikishe mwenzio ..na sikujiamlia wewe tu..wanasema vunja ukimya ongea na mwenzako kwa mawasiliano na mahusiano mazuri....karibu mkuu...uje kupiga hata picha
 
Back
Top Bottom