Yuuuuuuuuuuuuuuuu

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583
Yo Yo bana...ana makeke sana.....

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=3S95Mh4-BX8"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Dogo pesa zinamtesa. Sometime utajiri wa ghafla una blind watu sana. Akicha kufilisika he will go down the drain searching for the money he flushed down the toilet.
 
Hiyo TV kwa nyuma mbona naona kama ilishapitwa na wakati........au alikuwa kwa jamaa yake.
 
Thats balling right thurr.. DAMN, I can do with the diamond chain and the lambo... DAMN,
Jama kama huyu akianza kumtongoza mrembo wako, hauna lako aisee.
 
Yo Yo mjinga....anahusudisha ubishoo
mie sio bishoo......kuhusudishwa na mashori sio ubishoo dogo......wazeiya huyo ni soulja boy tell em sio Yo Yo.....Yo Yo ni mtu mzima sio dogo kama hilo rimarekani
 
Hiyo TV kwa nyuma mbona naona kama ilishapitwa na wakati........au alikuwa kwa jamaa yake.

mkuu Indume, huyo jamaa kama hiyo TV ni ya kwake mimi binafsi namsifu maana wezi huwa wanapata tabu sana kubebe TV zenye vichogo kuliko Flat Screen kwasababu ya uzito..Big up Yo Yo
 
Thats balling right thurr.. DAMN, I can do with the diamond chain and the lambo... DAMN,
Jama kama huyu akianza kumtongoza mrembo wako, hauna lako aisee.

At first I thought your comment is insulting to women but then I figured its possible that its only applicable to the warembo you go out with. Kwahiyo hamna kilichoharibika.
 
Samahani unaweza kufafanua? Comment ya nani na imesema nini kuhusu wanawake? Maana sijaona post yoyote iliyo refer to women in any way. Maybe you so something I didn't.
 
Huyu dogo atafanya show hapa Minneapolis sept moja nilitaka niwaibukie ila kama mambo yenyewe nda haya nitafikiria upya!
Ajue kuna kufulia!!!!!!
 
Its a reply to Smatta's comment

Ooooh nimekupata dada. Nadhani alicho fanya ni kugeneralize kwa sababu wanawake wengi kama hao wapo. As long as you are not like that you have no reason to be offended dada. Si unajua kama wanawake na ule msemo wanao upenda wa "All men a the same"?
 
But arent all men the same? - Joke. Kuhusu comment yake, ndio maana nikasema labda anaowajua yeye so Im not offended at all.
 
LOL... Labda wale nime date ndio materialistic.. Let me kindly ask you, Jamaa akiku approach na hizo diamond chains, ana roll na lambo na mabentleys, ana crib kwenye hills, utaweza kumkataa (usisahau hii ni hypothetical situation, na naheshimu wanawake sana), as in the brother can give you everything you think of, utamwacha mchumba wako? coz I have seen this things happen and TID was involved.
 
I think the diamond chains are hideous and Im not a fan of lamborghinis or Bentleys. So thats a no brainer.

Are you for real,, thought diamonds were a ladies best friend, just next to the big purses, and big cars... If you are for real, then ama start looking else where coz all I see around me are material girls. You mean even if a brothers rolls with a Royce, it aint gonna add some marks to him??
 
Haha unaweza kuroll na Double R na bibie asijue thamani yake.
 
Are you for real,, thought diamonds were a ladies best friend, just next to the big purses, and big cars... If you are for real, then ama start looking else where coz all I see around me are material girls. You mean even if a brothers rolls with a Royce, it aint gonna add some marks to him??

Will I be conversing with the car or the person?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom