Gola Magola
Member
- Jul 16, 2016
- 13
- 16
ile scania ya happy nation ilikuwa inaitwa sauti ya manka acha kabisa mzee, nakumbuka tuliikodi wanachuo mbeya ilitoka saa 12 asubuhi dar tulifika saa 9 kipindi ile hakukuwa na tochi wala checkpoint.Mkuu Dar Mwanza au Dar Kahama kwa mbio zinatisha Kisbo na Cityboy ambazo ni scania. Wakuu, scania ni namba nyingine ikishachanganya hakuna basi inayogusa. Uliza kuna happynation zilikuwa scania za mbeya hakuna basi ilikuwa inagusa. Scania busses zipo vzuri sana kwa mbio na uimara. Udhaifu pekee wa scania busses zilizokuwa zinakuja tz zilikuwa hazina AC. Ila hapa juzi kati nilipanda scania bus yenye ac ilikuwa matata sana.
Tukija kwa Youtong zinachakaa haraka sana; ukiangalia scania za abood hadi leo zipo fresh na zina kama miaka kama kumi hivi lkn yutong za BM zina miaka kama sita hivi lkn zmechoka mbaya.
umenikumbusha mbali aisee ndugu.