Yutong na Scania

Ahsante mleta uzi...Kuna vitu nimejifunza leo tena vingi tu japo sijapenda kuishindanisha SCANIA na YouTong
Kama umeizalilisha hivi...anyway ahsante nimejifunza vingi leo
Ziko Bandarini? Make njiani sijawahi ona kitu cha aina hiyo
 
Kwa swala la luxury bus Youtong, Haiga ni Bora wapewe tuzo ila kwa Durability ni Scania. Pia tutambue Basi kuwa luxury kama Youtong, Haiga, dragon faida na furaha kwa abiria ila Durability kama Scania faida na furaha ni kwa Tajiri.
 
Unawezaje kulinganisha Chines bus na Scania bus,au kwa vile tupo least developed country basi tunafikiri mabus tunayoyaona huku ya jamii ya scania ndio yapo kwenye middle income na first wolrd countries kwa kifupi duniani scania buses unaweza zishindanisha na Mabus kutoka kampuni za Volvo,Man,Mercedes,Iveco,Hyundai,Van Hool,VDL n.k.Chines ni copy and paste vitu vyao avidumu.
 
Kwahiyo kumbe hizi engine Cummins sio za kichina ila body ndio mchina?
 
Yutong hakuna kitu pale,kwanza kuipata tu yenye plate number hata ya B ni ishu,lkn scania zinazotesa road utakuta t 243 agb,,,,,ava
 
Back
Top Bottom