yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
ya leo kali
Kutokana na ushindani Wa kibiashara ya kusafirisha abiria imebainika scania wameibuka washindi hasa kwa mwendo na durability hasa kwa safari za mbali,km dsm to mby,dsm to Mt.tulichangie wadau.
You can not rely on chinese trucks. Why?
1. Wanakopy na ku-paste
2. Engineering concept inakuwa ya kuiga
3. Wanchokifanya wao n ku design the same Mercedez Benz ambayo unaitwa Beeben, then when you want to push the truck to the maximum, tolerance inkuwa zero.
If you know Engines and how it's supporsed to work, scania, Benz, Volvo , Man,caterpillar , Detroit ,then you know what in talking about.
Achana na concept ya kuongezea sensor ya truck detection wakati wa mlima au mteremko, I'm talking about the the really monsters, Kama hizo nilizozisema hapo chini
sasa mbona matajiri hao hao wa mascania mbona wanaoleta yutong saizi. Sawa scania inadumu lkn ili upate faida inabidi ukae nayo miaka 6 wkt yutong miaka 2 tu imeleta faida. Kumbuka biashara ni faida
We vipi?mbona sikusomi?Kwani marcopolo ni nissan?Marcopolo ni haina mojawapo ya scania buses!Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
We vipi?mbona sikusomi?Kwani marcopolo ni nissan?Marcopolo ni haina mojawapo ya scania buses!