Yusuf Manji apewa Tuzo ya Heshima na Shirika la Kimataifa Duniani

Habari zilizonifikia ni kwamba Bwana Yusuf Manji ameteuliwa kuwa Balozi wa Amani Africa na World Organization for Peace (WOFP/OMPP).

World Organization for Peace ni Shirika la Kimataifa linaloshughulika na kulinda Uhai wa binadamu Duniani.
View attachment 385699
Tunajivunia kwa Mtanzania mwenzetu kupewa heshima ya kimataifa. Maana hii ni Sifa ya Nchi pia.
Hiyo tasisi lazime iwe ina milikiwa na yeye mwenyewe anatafuta kiki ya kukodisha yanga na familia zao
 
Mtanzania mwenzetu....what a millennium joke
tena kwa ushiriki wake katika siasa na mambo ya kijamii na mchango wake kwa nchi tukiweka kwenye kipimo Manji ni Mtanzania kuliko hata wewe mkuu.ile ni rangi tu.mfahamu vizuri manji ni nani utaekewa tu mkuu.inaonekana somo la uraia/civics/GS umesahau mkuu.utaifa wa mtu haupimwi kwa rangi
 
Wanahitaji ubao na chaki hawa kenge.Wabaguzi sana alafu wao hawafanyagi kitu hata mtaani kwao
 
MIMI NAMJUA MANJI KWENYE ULE MKATABA WA ALIYOWAINGIZA MKENGE UWT MKATABA WA MIAKA 100,NAMJUA MANJI ALINUNUA MAJENGO YA EPZ TOKA KWA SERIKALI KWA HELA NDOGO SANA HUYO HUYO AKAJA WAPIGA SERIKALI KWA BILIONS OF MONEY,NAMJUA MANJI ALIFILISI KAMPUNI YAKE YA DUNHIL KIMCHONGO BAADA YA KUDAIWA HELA AKAIUAA,NAMFAHAMU MANJI ALICHKUA KAMPUNI YA QUALITY GROUP ILIYOKUWA INAMILIKIWA NA SERIKALI KAICHUKUA KIMAGUMASHI,MANJI NI DHULUMATI TU ILA ANATUMIA UJINGA NA UDHAIFU WA VIONGOZI....WETU
SOON YANGA
Facts?!
 
hizo ni habari za vijiwe vya kahawa mkuu. Manji anafanya mambo kisheria we baki kusema anaidhulumu serikali.anachofanya yeye ni business of buying business tena kisheria.we endelea kudanganywa na vijiwe
 
Back
Top Bottom