Yusuf Makamba kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
<p>
Of all them People in ccm, he won't dare taking the forms. Anajua atashindwa hata primary screening, i pity him sooo bad.<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/help.gif" border="0" alt="" title="Help" smilieid="199" class="inlineimg" />
</p>
<p>&nbsp;</p>
primary screening mbona mbali sana?hataweza hata kujaza fomu wala kupata wadhamini!
 
watanzania tunafahamu mchango wa yusuf makamba katika kukijenga Chama cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi mwaka 2015 atachukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania . nadhani kwa upande wa taifa letu hajawahi kutokea mgombea makini kama makamba na nadhani yeye atakuwa ni rais safi kupita wote.
naomba wajumbe tuanze kujadili kazi za makamba na kama kuna mapungufu yake pia kabla hajachukua kiti hiki cha urais

Na PM awe Prof Maji Marefu.
 
wengi wetu hatujapima mchango wake kwa taifa toka mkuu wa mkoa hadi sasa tunaomba mtendeeni haki kwa vipimo na tuanze kumuunga mkono
Tupime nini mkuu zaidi ya Ubingwa wa kuwapeleka wenzake kwa WAGANGA ili inji iendeshwe kishirikina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom