Yusuf Makamba kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
watanzania tunafahamu mchango wa yusuf makamba katika kukijenga Chama cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi mwaka 2015 atachukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania . nadhani kwa upande wa taifa letu hajawahi kutokea mgombea makini kama makamba na nadhani yeye atakuwa ni rais safi kupita wote.
naomba wajumbe tuanze kujadili kazi za makamba na kama kuna mapungufu yake pia kabla hajachukua kiti hiki cha urais
 
Nina kazi na modem yangu imeisha pesa...sitaweza kuchangia kuhusu huyu jamaa,nina hasira nae kuliko kiongozi yeyote wa siasa........
 
Yeah,anafaa sana kugombea kupitia ccm kwani ameonesha ni jinsi gani anaweza kujenga chama
 
Of all them People in ccm, he won't dare taking the forms. Anajua atashindwa hata primary screening, i pity him sooo bad.:help:
 
Of all them People in ccm, he won't dare taking the forms. Anajua atashindwa hata primary screening, i pity him sooo bad.:help:

mkuu lisilowezekana kwa werevu na vichaa, kwa CCM linawezekana!
 
Wewe unaweza kuua watz wote kwa presha..............makamba kuwa rais au rahisi kwa mafisadi?...............kwani makamba na kikwete kuna tofauti gani vile........................?......mi naona wote ni weak leaders, ni viongozi wa majungu, wanaoongea wasichoweza kufanya
 
Kweli ccm watakuwa na busara sana kumpitisha ma-rope kwani atashinda kama analia vile!!!
 
wengi wetu hatujapima mchango wake kwa taifa toka mkuu wa mkoa hadi sasa tunaomba mtendeeni haki kwa vipimo na tuanze kumuunga mkono
 
tumeamua kumpunzisha makamba ili atapoibuka awe na kasi mpya lakini mpango wa urais wa makamba umeshika kasi na hakuna mwenye uwezo wa kuzuia mwendo na mikakati ya kambi ya makamba
 
tehetehetehe....... wakimsimamisha tu.... watakuwa wamepanga matokeo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom