Yusuf Makamba: CCM imesajili kikosi supa ligi ya mwaka 2015

Refa atakuwa nani kwenye supa ligi .....Tendwa a.k.a Howard webb? tutarajie vituko...foul nje ya 18 itawekwa penalt...hehehehe
 
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusufu Makamba, amesema Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) imefanya kazi nzuri kwa kuwa imesajiri supa timu ya kucheza ligi ya mwaka 2015.Makamba ametabiri kuwa kazi nzuri iliyofanywa na NEC mjini Dodoma wiki iliyopita itakiwezesha chama hicho kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge mwaka 2015.
View attachment 66750

“Nasema kama mwanachama wa CCM, lakini pia kama Katibu Mkuu Mstaafu wa chama, tumesajiri wachezaji wa super ligi ya mwaka 2015 wanaosemaCCM itakufa watakufa wao,”alitamba Makamba.

Aliongeza“Naamnini kuwa sisi tumesajiri vizuri,maana usajili ni mzuri, kila aliyesajiliwa akipata nafasi ya kushinda afanye yale yanayotakiwa”.Alisema katika uchaguzi huo wao walizingatia zaidi kuunda timu itayochochea ushindi mwaka 2015 na si vinginevyo.

Source: Haki Ngowi!

Mytake:Baba Januari Bwana kashaanza kupiga ramli.....Makamba siasa ya wamachinga na kelele zilishapitwa na wakati sasa ni sayansi zaidi siyo Ramli.

Fisadi lazima asifie mafisadi wenzake ni kawaida
 
  • Waangalie wasifanye usajili kama wa Rage na akina Twite , kumbe Twite sio wa APR ni wa Congo......
 
Back
Top Bottom