yupo wapi Sabaya.,DC wa Songea

alexmahone

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
482
405
Mwenye taarifa na mkuu wa wilaya ya songea bwana Sabaya naomba anijuze,maana cjamsikia muda mrefu.
 
Huyo sabaya na mwenzio maiko kamuhanda (rpc) siwapendi kama nini ukiweka juu na nchimbi emanuel.
 
Mwenye taarifa na mkuu wa wilaya ya songea bwana Sabaya naomba anijuze,maana cjamsikia muda mrefu.

Mkuu huyo yupo hapa Songea.Anazidi kujenga majumba tu nadhani akistaafu hatarudi Arusha.Alikutana na kibano cha maandamano hapa Songea na kuanza kupita kutoa eti elimu ya kwanini wananchi hawapaswi kuamini mambo ya uzushi.Hii ilitokana na mauaji ya wananchi wakati wa maandamano yaliyosababishwa na polisi.Polisi ambao hadi sasa wameachiwa huru.
 
Back
Top Bottom