Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
Rwanda kuna opportunities nyingi tu za kazi, tena kazi za kule zinalipa vizuri tu ukilinganisha na bongo. Kama mtu umefanikiwa kupata kazi Rwanda au nchi yoyote ile ya east africa ni bora uende na ufanye. Nilikuwepo Huko Kigali, wabongo wengi tu wapo wanafanyakazi na life inaenda vizuri tu.