Yupo wapi Guru wa IT Malecela Peter Lusinde AKA Male

Hah hah haaah hako unakosema wewe Mkuu kaliitwa Nsia Swai...
Dah sio hako, ila haka ka kwangu hakakuwahi kuwa maarufu.

Picha ya Malecela Peter Lusinde naitafutia flemu ili niweze kuitundika Ofisini au Chumbani kwangu.
Gang Chomba Haa haa haa jamaa alikuwa anaweza sana ,alitia adabu sana waliokuwa wanajiona kuwa wao ndio wao kwa kuchafua chafua hali ya hewa...
 
Last edited by a moderator:
laana zako na nani?
Yeyote aliyekwenda kinyume na maadili basi Guru Male alimrudisha kundini.

Popote ulipo Male fahamu kuwa una muumini anaitwa Gang Chomba.
Niko radhi kufika na wewe Karvali na hata kusulubiwa pamoja nawe.
Unanifurahisha sana:laugh: I remember those "good" old days. Naona huyo mtoto alikuzingua sana na jamaa amekufanyia justice kwa niaba yako.
 
Unanifurahisha sana:laugh: I remember those "good" old days. Naona huyo mtoto alikuzingua sana na jamaa amekufanyia justice kwa niaba yako.


Na ndio maana namkiri hadharani Malecela Peter Lusinde kuwa ndie mfalme wa IT kwa niaba yangu na familia yangu.
 
Hakika theutamu musica ingekuwepo basi tungezipata picha za huyu mama yake Mkorogo kama 1000 hivi...

Na ndio wangeacha kujishaua kwa kupitia magazeti yao yalojaa matangazo ya waganga na vyuo vya kata...

Shenz type...
 
Back
Top Bottom