Yupo wapi Guru wa IT Malecela Peter Lusinde AKA Male

Malecela peyer mzee wa ze utamu.Umenikumbusha mbali sana kaka
huyu jamaa angesaidia tatizo la JF kuzima zima......yupo wapi ila naona bro wake william karithi blogu za namna ile arifu...umeona mapicha pendwa kwenye blogu ya william malecela?
 
si walidai wamemkamata?
Huyu jamaa ni mmoja wa mashujaa wangu kwa kweli...
Dah namkubali mwanzo mwisho.
Alinianikia wiki nzima picha za hawala Yangu wa zamani alieniacha kwa mbwembwe ile mbaya.
Dah Peter hakika wewe ni mbarikiwa ambaye kweli ulikuwepo kati ya wale wanafunzi wa YESU
 
Kafyata. He's one odious dude though na mambo yake ya udaku, ushoga, na upuuzi mtupu. Hawa wanaojiita "Malecela" lazima watakuwa na "vulgarity gene" ingrained in their DNA.
 
Kuna Malecela mwingine yumo humu JF...
Dah jamaa anausaka Ubunge kwa hamu kubwa.
halafu kichwani ni ushuzi mtupu, hajui kujenga hoja, hajui kingereza na kiswahili anachojuwa ni uharo mtupu.
Sijamsoma au kumsikia akiongea Kigogo.
Anahisi watanzania woote ni kama wale waliomchagua Livingstone Lusinde kuwa Mbunge wao.
Hana nidhamu kwa jamii, hajiheshimu, anapenda sifa na kuna wakati anazitafuta ili mradi tu, hajui Siasa, mbumbumbu, maamuma, hana weredi, na pia hajui na hatojuwa kusoma alama za nyakati milele.

Huyo ni William J. Malecela, mtoto wa waziri Mkuu wa Zamani bwana Jumanne Malecela.
Pia ni mtoto wa Mbunge wa Same Mama Anne K. Malecela.
 
arifu ndio maana nasema ni mara elfu ya peter maana alitupa maraha sana wakati ule kuliko huu msiba william malecela....
 
si walidai wamemkamata?
Huyu jamaa ni mmoja wa mashujaa wangu kwa kweli...
Dah namkubali mwanzo mwisho.
Alinianikia wiki nzima picha za hawala Yangu wa zamani alieniacha kwa mbwembwe ile mbaya.
Dah Peter hakika wewe ni mbarikiwa ambaye kweli ulikuwepo kati ya wale wanafunzi wa YESU

Kale katoto ka Moshi kalikokuwa kanasoma sauti nini mkuu!! haa haa haa
 
Hah hah haaah hako unakosema wewe Mkuu kaliitwa Nsia Swai...
Dah sio hako, ila haka ka kwangu hakakuwahi kuwa maarufu.

Picha ya Malecela Peter Lusinde naitafutia flemu ili niweze kuitundika Ofisini au Chumbani kwangu.
 
kafulia ana laana zetu....:A S-baby: yupo analelewa huko uk

laana zako na nani?
Yeyote aliyekwenda kinyume na maadili basi Guru Male alimrudisha kundini.

Popote ulipo Male fahamu kuwa una muumini anaitwa Gang Chomba.
Niko radhi kufika na wewe Karvali na hata kusulubiwa pamoja nawe.
 
Back
Top Bottom