Yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa RTD kipindi hicho?

Huyu mtu yupo jijini dar ni wiki iliyopita tu nimemuona sehem. ni kweli jamaa amekuwa chapombe na amebadilika hata sura ni tofauti na nilivyomuona miaka miwili iliyopita. kikazi nadhani ni wale waandishi huru kwa sasa na hasa wale waliojikita kwenye makundi nadhani chama cha magamba wanaelewa zaidi. ila all in all jamaaa amepitiliza sana kwenye ulevi. " TUMUOMBEE JAMANI"
 
<br />
<br />

Shukrani mkuu kwa taarifa,maisha ndivyo yalivyo
 
Taarifa nilizozipata leo Ezekiel Malongo amefariki dunia hospitali ya Mwananyamala kwa ugonjwa wa Malaria.
 
Jamaa alikuwa anakata Tungi kuliko Mamba! Alipelekwa Mwanza kwenda kutangaza RFA kwa ndege, akauchapa usingizi ndani ya ndege kwa pombe walizokuwa wanapewa abiria, mtu aliyekuja kumpokea akarudi bila kumwona. Na kwa kuwa wahudumu wa ndege zetu hawako makini wakamstukia wakati ndege inarudi Dar ameuchapa usingizi. Ndipo ukawa mwisho wake. Alikuwa anapatikana maeneo ya Posta akipiga mizinga mpaka ya Mia tano. Pia alishajiingiza kwenye utapeli. Inasikitisha sana kupoteza kipaji kwa ulevi.

Ulevi ni nouma!

Hii habari inaniuma sana,jamaa alinikosha mno kombe la dunia 2002
 
Back
Top Bottom