Yupo wapi Eddy Sultan?

kwa Hizi comments zenu zitanifany na mie nitafute mwanamke mtu mzima anayejiheshimu mana mabinti siku hizi asilimia kubwa hamjiheshimu mpaka umri uwakimbie
 
nimempenda huyo mwanamke!ana staha!wanaume huoa kupata tulizo la nafsi!naona eddy kalipata!sio kama wadada wa siku hizi presha tupu!
 
Jamani mke wa Eddy hana ubaya hata kidogo kosa ni kumzidi umri mume? Dai yuko na zari nae mkubwa lakini kutwa kumsifia Dai, au kwa kuwa zari ni mweupe? tuache kukosoa Mungu ndie kamuumba na sio Eddy, na kama ni mbaya akosolewe Mungu, ila mume karidhika wapambe kashfa za nini? Tupige umbea ila si kukosoa alivyoumba Mungu, tusipende kuumiza wengine. tukumbuke hujafa hujaumbika., kuna wengine wadogo kiumri lakini nyuchi zao zimesha zeeka kwa kulaliwa tangu wakiwa na umri mdogo, so muacheni Eddy na mkewe.
Kwa dini ya kiislam MKE KUWA MKUBWA SIO KOSA, Nadhani wamesahau kuwa Uzuri wa Mke ni tabia. Kuna waliooa wake wazuri kwa sura na maumbo kila siku wako humu kulalamika wanamegewa.
 
Hewalaaa, mke ni zaidi ya sura. Tatizo hawa watu wanaojitia mashuhuri kumchagulia mtu mke wao wenyewe ukute hawajawahi hata kutaniwa uchumba, wanaishia kuchezewa tu halafu wanamletea mshikaji makunyanzi..let them enjoy getting old with each other msiwasemee ya mioyo yao maana hamna kati yetu ajuaye walipendeana nini tunaishia kuspeculate tu.
Km wazuri waolewe wao basi...sio tabia nzuri kbsa kukosoa uumbaji wa Mungu...ndio keshapenda na kaoa....ni wivuu tu wanataman wao wangeolewa nae wauze sura insta...huku ndoa hawaziwezi...huyo ndio wifematerial sio fake
Big up eddy huyo ndio chaguo lako
Hlf hii tabia ya kuwasema vibaya watu wasio na hatia mitandaoni ni mbaya sana
 
Hakuna kitu mzazi hapendi kama mwanae kuoa mtu aliyemzidi umri sana....angalau hata hamzid kidogo ila sio kwa kupishana huko kwa eddy na mkewe
 
Back
Top Bottom