Yupo CHITCHAT na nimempenda...Tegua kitendawili

Tehe tehe......nitty ndani ya kofia kubwaa na mabuti lol.....Amy ndani ya kilemba kilichofungwa kihasara na mabuti lol....afu wamepaukaaaaaaa kama wametafuna mihogo mibichi......karibu tukule!

Bidada, mdomo huo!
Afu leo umecharukaje?
Au umeshakameza kasungura nini? Nahisi umekashusha mikono kale kadogodogo ambako mezani hakasimamishwagi ! Shurti kalazwe upaba !
Au ?
 
Hahahahaha!.....ndio kanini hako J?.....wengine mafumbo hatujazoea lol
 
Amyner,anakuingiza mjini huyo,kuna mdada humu erickb52 roho yake imemudondokea.We ndo basi tena.

Ebu ntajie huyo dada? Bishanga naomba uwe shahidi kwa yatakayo mtokea ndugu yako b52! Kusafiri kidogo tu nshampata mke mwenza..dah!
 
Mke mwenza si ungeshukuru .....sema wake wenza......sahivi mko kama nane hivi!.....kuna nyumba kubwa Amyner.....kuna vidumu viwili Kipipi na BADILI TABIA........kuna ndoo kubwa 2 na ndogo 3.....kazi kwako mdada!
 
Last edited by a moderator:

Wacha weh! Where is @klorokwin nahisi nahitaji ushauri toka kwa lawyer!
Hivi jamani hata BT nae kanigeuka? Loh kweli kikulacho!
Na we bi shost mbona unagonganisha vidume? Nimepata story zako!
 
Hahahahaha.......na wewe ukaziamini hizo story jamani?.....ni maneno ya umbea mwaya hayana ukweli wowote!
 
Ebu ntajie huyo dada? Bishanga naomba uwe shahidi kwa yatakayo mtokea ndugu yako b52! Kusafiri kidogo tu nshampata mke mwenza..dah!

Shem langu Amy, walaaa!
Wasikupandishe mzuka buree!
Wanakudesh tu! Waone utaripukaje!
Eventhough nakuona hubabaiki !
Yees jimwanamke kama Simba!
Fully- stable! Lang'ata ng'haaa!
We kwanza hata si kuwasafisha nyota!
Nyota yako inakimbiza bhanaa komaa nae 52! Ukimpurukuchua
shaurilo!
 
Shem wangu wa ukweli mzima wewe? Eti wanataka nipate heart attack mie.. Bado robo nipande meli nirudi kwetu.. Let me go search for my hubby erick!
 
Alafu tena!
Habari si hizo!
Wakidhani u'macho ya Nazi, yako witiri bt yasio na mpango!
Chukua sufi, ziba maskio , mboni elekeza mbele!
Wanadipu pasipodipika!
Sukumia wao pole zao.
ErickB52 Uko wapi?
Kuuja hapa beba hun wako mkavinjari maisha mitaa ya mbele kabla Bata hawajapoa.
 
Niko hapa love Amyner!
Najua akina sweetlady baada ya mambo yao kwenda mrama wameamua kutuharibia ila usijali i love now and forever!
Miss you so much mylove!
 
Last edited by a moderator:
Alafu tena!
Habari si hizo!
Wakidhani u'macho ya Nazi, yako witiri bt yasio na mpango!
Chukua sufi, ziba maskio , mboni elekeza mbele!
Wanadipu pasipodipika!
Sukumia wao pole zao.
ErickB52 Uko wapi?
Kuuja hapa beba hun wako mkavinjari maisha mitaa ya mbele kabla Bata hawajapoa.
Dah samahani nilikuja nikambeba kimyakimya....!
Ndio tumerudi sasa!
Thanks Judgement kwa kunisaidia kutake care Shem wako!
I promiss to do it kwa shem beibe nasty
 
Last edited by a moderator:
Ebu ntajie huyo dada? Bishanga naomba uwe shahidi kwa yatakayo mtokea ndugu yako b52! Kusafiri kidogo tu nshampata mke mwenza..dah!
Huyu Bishanga sio mtu wa kuomba taarifa kwake!
Ni sumu mbaya na ana fitina balaa hakawii kutuharibia kwa makusudi huyu
Achana na maneno ya watu si wema hawa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom