Yupo CHITCHAT na nimempenda...Tegua kitendawili

mh, me lala now. tatizo mnapendaga mambo ya towm. haya nenda Johanesburg South Africa km hutaki kwenda mkuranga ukirudi unipe jibu. platozoom
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa katika bwana muwe na usiku mwema
platozoom - :smile-big:
charminglady - :hug:

@wote mnaochungulia kwa hapo dirishani - :mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
ah wapi,me cna hzo sifa bana!

"wapi, me cna hzo sifa"
(pronouce kwa kubana pua)
Jidanganye eti huna sifa!
Unapoenda kununua Mkate dukani, uliwao ni Mkate au mfuko uliobeba Mkate?
Hapa ushadondokewa, kama unabisha subiri afunguke mleta mada.
 
"wapi, me cna hzo sifa"
(pronouce kwa kubana pua)
Jidanganye eti huna sifa!
Unapoenda kununua Mkate dukani, uliwao ni Mkate au mfuko uliobeba Mkate?
Hapa ushadondokewa, kama unabisha subiri afunguke mleta mada.

mmmh!!
 
Nimempenda sana huyu binti/mama. Simjui hanijui.............ukiniuliza kwa nini sina sababu.

Ukiniuliza umempenda kimapenzi nitakujibu "sina hakika"....ukiniambia unampenda kama dada yako nitajibu "Wewe wasema"..............Basi tu yupo moyoni. Naanza kuwapa wasifu wake angalau unaoonekana JF:

1. Mcheshi kwenye maandishi yake ila si sana
2. Anapita sana chitchat na ni mdau mzuri tu
3. Ni kama alishawahi kuumizwa kwa kuporwa mchumba lakini mvumilivu
4. Hujibu hoja kwa kifupi lakini kwa namna ya kuvutia
5. Kuna mjamaa hapa JF anammendea lakini hajafanikiwa
6. Ndio ni binti/mama mzuri tu lakini inaonekana akikukamata kwenye anga zake itabidi ubadilishe ATM card kwa sababu itachakaa mapema.

Nawaachia kitendawili wana CHITCHAT mkitegue: Najua vizuri kuna wadada wengi tu hapa kama Mwali, Mamdenyi, Preta, sweetlady, Kongosho (? ), Erotica, CUTE,
@chamingdly, @canatalisia......................na kadhalika, lakini sisemi yumo humo au hayumo!!!

ngoja niingie katika maombi nikioteshwa nitamtaja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom