Yupo anae uelewa Mtandao huu?

Falcon

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
245
68
katika kusoma kwangu magazeti ya hapa Tanzania nimekuta mahali unaelezewa mtandao unaoitwa (mtandao wa BBM) kama yupo anaeweza kunifafanulia nitashukuru kwa kutumia dakika zake na kunielewesha.
 
bbm ni blackberry messenger, ni real time chat application mahususi kwa watumiaji wa simu za blackberry. Mfano wa realtime chat applications ni whatsapp, facebook chat n.k! I hope umeelewa kuhusu bbm
 
Back
Top Bottom