Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupi ni mke bora kwa mtazamo wako (wanaume)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Sep 15, 2012.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 3,325
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  1. Mwenye uwezo wa juu wa kukuhudumia, kimapenzi,kulea watoto na familia yote ukiwemo na wewe mwanaume, hata kama hana elimu ya kutosha.
  2. Mrembo hadi wanaume wanajikwaa, lakini sifa ya kwanza hapo juu sio sana kwake.
  3. Elimu ya chuo kikuu na kazi anayo lakini sifa ya kwanza pale juu si sana kwake.

  Mawazo yako
   
 2. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,404
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  ongeza hii hapa .

  4. Mwenye hofu ya Mungu
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,744
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mwenye uwezo wa kuplay her part as a woman. Tusianze kutafutana ubaya wa ooh, sijui tuko sawa!!
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,497
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Huyu ndie Mke bora kwa mtazamo wangu.............. LOL
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,497
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Au kama huyu, kiboko ya wanaume wakorofi na wazinzi....... LOL
   
Loading...