Yupi humchezea au kumnajisi mwenzie?

Inategemea,
yeyote kati ya she/he anaweza akamfanya hvyo mwenzie.
yule wa kwanza kuamua kuvunja uhusiano ndo kamnajc mwenzie.
 
Hivi ni nani ambaye ana haki ya kumgeuzia mwenzie kibao baada ya kujamiiana kwa makubaliano, lakini iwapo kuna jambo hawakuafikiana baada ya tendo anayo haki ya kwenda kwenye vyombo vya sheria na kudai kwamba amebakwa, na akawa na haki ya kusikilizwa....................hivi ni mwanamke au ni mwanaume..........?
 
Wanachezea kitanda

mabinti hupenda kuwatupia lawama njemba zao mara mambo yanapokwenda mrama husikika wakidai ya kuwa wapenzi wao ndiyo wamewapotezea muda wao bure, kuwachezea na kuwanajisi.......................huwa na vinyongo ambavyo havina ukomo.................swali langu la leo ni kuwa hivi ni nani hasa humchezea mwenzie au kumnajisi kati ya dume na jike?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom