Yupi Bora Katika kutunza familia?!

chloe.obrain

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
391
20
kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu.
yupi anaweza kutunza na kulea familia yake endapo akiamua kuoa?
Let's say wanafanana kwa baadhi ya tabia mfano kumcha Mungu, si walevi, wanajali, wana huruma ........n.k.

tujadili plz!
 
Principal ziko hivi ukifikia katika miaka30 nilazima uwe namakazi binafsi siyotena kwa baba maana 40 uwezi kama ujapata uwezekanao wakukosakabisa ni mkubwa!1sasa hao kama wanapesa namja nikulalulala huyo hawezikabisa kulea familia kwani amebweteka!!
 
kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu.
yupi anaweza kutunza na kulea familia yake endapo akiamua kuoa?
Let's say wanafanana kwa baadhi ya tabia mfano kumcha Mungu, si walevi, wanajali, wana huruma ........n.k.

tujadili plz!
Hapo inategemeana na hao watu kuhusu suala zima la malezi,unaweza kusema anayekaa nyumbani na familia yake hawezi ila inawezekana kabisa kuwa ndiye akawa nguzo kuu katika familia yake kwa kuiendesha familia nzima ikiwa ni pamoja na wazazi wake,na kwa upande mwingine inawezekana huyu akaaye nyumbani na wazazi akawa ni mtu aliyejibweteka na kutokuwa na uwezo wa kulea familia na analelewa tu hapo nyumbani.
Vivo hivyo kwa mtu ambaye anajitegemea asiyekaa nyumbani kwa wazazi,inawezekana akawa ni mtu safi sana katika familia kwa kuilea kutokana na mazingira aliyojiwekea ya kujitegemea na kukabiliana na hali ngumu ya maisha hivyo kuwa rahisi kuilea familia,lakini yawezekana akashindwa kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha kuhusu mambo ya familia.
 
As a man u need to make a name for urself.... ability to face life huddles makes u a better person and will have a senese of responsibility. Getting old in ur father's house cripples and dwarfs ur abilities!!!:rant:
 
sure!!!!
 
Back
Top Bottom