Yupi anajua kuuchuna??

luye25

Member
Mar 28, 2012
20
5
JUHA; Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallow' nikauchuna sikuongea mpaka pesa zote zikaisha!!

ZOBA; Niligonga mlango mke wangu akafungua hakusema karibu nikasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake nikageiza nkaondoka!!

ZUZU; Tangu nimuoe mke wangu hajaniita mpenzi nimegoma kulala nae hadi leo miaka sita.

Wote wakamwambia muongo ww mbona una watoto wawili??

ZUZU akawajibu mpaka leo sijamuuliza watoto ni wa nani nimeuchuna tu!!!!!!
 
hahaha,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom