Yummy!!

BADILI TABIA Umeshapewa ruksa na babu ya kuja kunikagua kama nina MKONO WA SWETA! njoo haraka halafu umpe jibu babu!
Kijana una hatari wewe... Naona unahitaji adhabu.

fire.jpg
 
Ntake radhi, hawa si wajukuu. Nna wake watatu, cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho. Ngoja wakija hapa watakuthibitishia.

Orait swty babu Asprin niwie radhi nimeshakuelewa lol!unajua haya yametokea nikiwa cpo!so ukaguzi wa jukuuz wapya upo au ndio majukumu ya kuwajibika kwa wake 3 yamekuzidia!
 
Last edited by a moderator:
Orait swty babu Asprin niwie radhi nimeshakuelewa lol!unajua haya yametokea nikiwa cpo!so ukaguzi wa jukuuz wapya upo au ndio majukumu ya kuwajibika kwa wake 3 yamekuzidia!
Tena we sijakukagua siku nyingi, hebu kam zis wei kwa ukaguzi yakinifu....
 
sasa hivi hana ujanja, akili zake nimezikomazaaaa ka nazi za msibani! hawezi nigeuka akaoa tena, akifanya hivyo ataniumiza sana na anajua hilo! lol
Na si unajua tena nikikuumiza na mimi naumia pia? Hebu jiandae leo nikutoe. Unatumia Dodoma wine au Amarula?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom