Yule Mzee wa saa ya ukombozi ni sasa yu wapi wanaJF?

Olomi Maimu

Member
Apr 2, 2012
8
1
Nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''UKOMBOZI'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?
 
nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''ukombozi'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?
amechukua rushwa kwa greener mukombo mke wa askofu mukombo yupo kunywa supu!!!!!
 
Nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''UKOMBOZI'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?

Bado anakula fungu lake, we..subiri aishiwe mapovu humtoka anapotamka neno UKOMBOZI.....nini unashangaa:A S-confused1:
 
Yeye siku hizi anaitwa mzee wa kutingisha. Fungu likiisha anatingisha tena, yaani anakwenda kimjini mjini.
 
Nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''UKOMBOZI'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?

Alishanunuliwa na mafisadi!
 
Mweka hazina wa chama chake kwa miaka zaidi ya kumi, ambaye ni mkewe ameanza kuleta za YUDA, sasa hivi anatafuta king'amuzi cha ndoa kuokoa hiyo ruzuku
 
RIP, kaondoka wakati ukombozi haujapatikana - tupo na Bi Mwakitozo tunahangaika naye !!
 
Back
Top Bottom