Yule mdada aliyekufa kafufuka

Mar 4, 2015
13
12
MKE: Ulilala wapi? Unanidharau sana unanirudia mie alfajiri, leo lazima unambie huko ulikolala
MUME: Mke wangu mpenzi jana nilichanganyikiwa, si unamfahaamu rafiki yangu Joshua, basi jana dada'ke kaanguka kafariki ghafla basi nimelazimika kulala huko kumliwaza.

MKE: Ok basi ngoja na mie nioge niende nikawape pole maskini dada wa watu... (akaenda kuoga)
MUME: Yaani maajabu makubwa yametokea, muujiza laiv

MKE: Kivipi?
MUME: Ulipoenda kuoga, Joshua kanipigia simu eti kuna mchungaji kaja kumuombea yule dada'ke aliyekufa, sasa kafufuka, hivyo wameondoka kuelekea kijijini kwao kuwaona wazazi wao, yaani muujiza!
 
Hahaha hahaha wanaume ni shiiiidaaa wanacheza na akili za wanawake kama Pele kweli michepuko is inevitable
 
Labda Huyo Mke Awe Chizi Ndio Atamuelewa, Ila Tofauti Na Hapo Huyo Mume Lazma Ataumbuka Tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom