Yule Jamaa Owner wa Zeutamu wamem-deadisha?

Sasa mbona asikiki tangia akamatwe? Unakumbuka kauli aliyoitoa mkwe.ere jana wakati akizungumzia udictator?
Alisema kama yeye angekuwa dikteta hata huyo aliosema hivyo angeogopa,na kama angekua dikteta yule aliyesema hivyo angekua ashapotea na usingemuona tena,sasa swali jamaa(zeutamu) alimdhalilisha sana kwa kutoa pic analiwa tiGO na yeye alienda hadi interpol kumtafuta na wakampata sasa mbona asikiki tena ndo wadau wanauliza au walishamdeadisha?
King Kong III nadhani hapo kwenye Bold panamhusu Lissu
 
Kwanza ni lini mmiliki wa Ze Utamu alikamatwa? Nyani Ngabu ndiye aliyetunga story ya kukamatwa kwa ze utamu , akaanzisha thread humu ndani.Waandishi wa habari makanjanja wakainyaka humu ndani wakaipeleka kwenye magazeti yao ya siku iliyofuata.Kwa kifupi hakuna yeyote aliyekamatwa
 
Ha Ha Ha Ha NN kumbe alizusha tu.
 
Mtu wa karibu wa kunipa hizo info amesafiri, but I know the guy personally, last time I saw him he was actually obese, that can be the reason behind it all.
 
Mtu wa karibu wa kunipa hizo info amesafiri, but I know the guy personally, last time I saw him he was actually obese, that can be the reason behind it all.
yupo kajaa tele,sema siku hizi ni low key sana katika nchi ya malikia
 
ah! msinikumbushe!,huyo mtu alikua anadhalilisha watu,utadhani yeye hana kasoro,watu wengine wote sio binadamu,wametokea kwenye miti,hawana ndugu watakaoumia wakiona ndugu zao wakidhalilishwa kwenye mtandao.
 
Huyo ndg alifanya nini Mkuu.? Tudokeze wengine umri umekwenda hatuwezi kuendana na kasi ya mitandao
Alikuwa anamiliki blog aliyoipa jina la ZE UTAMU kazi yake ilikuwa kudhalilisha watu maarufu na kupost picha zao za utupu, iwe kweli au kuzi edit, ikaja fika wakati akajisahau na kuanza kumshambuli kiongozi wa awamu ya nne kwa kumchora picha akiwa amezungukwa na kundi la mrengo wa kina camerron amechorwa akiwa mtupu watu wana "mcameroon" halafu kiongozi anachekaaaa kile kicheko chake meno yote nje. Hapo ndipo alipotafutwa na kuletwa kimya kimya mpaka sasa haijulikani kama alipewa adhabu gani maana hakuwahi kufikishwa mahakani hata mara moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom