Yuko wapi Waziri MSABAHA?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Tanzania tumeshuhudia filamu mbalimbali toka 2005 mpaka leo.moja ya filamu hizo i ile ya RICHMOND,ninavyo kumbuka ilikuwa na mastaa wa tatu,zee la mvi, Nazir Karamagi na Msabaha(aliejiita mbuzi wa kafara). wapili wa kwanza wote wanajulikana wako wapi na wanafanya nini,ila kwa huyo staa wa tatu Msabaha hasikiki kabisa.. vpi yu mzima? anafanya nini? amesha lipa deni letu?
 
Ameona bora akae pembeni na ushenzi huu, alisema kweli kuwa alikuwa kafara mzee wa watu.
 
Atakua anafanya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la mto Ruvu maana ni mkazi wa Kibaha, ama atakuwa amerudi vyuoni kufundisha kwani yule si alikuwa DR au na yeye zilikuwa zile za kutunukiwa nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom