Yuko wapi uncle j. Nyaisanga.....

mara ya mwisho alikua Radio One - Itv. hawa ni LEGENDS wa sekta ya utangazaji HAPA TZ. katika kundi lao yupo Charles Hilary , Aboubakary Lyongo, Mikidadi Mahamudu.....ila yupo mmoja alifariki alikua anaitwa Dominic Chilambo,Abisai steven na yule aliekua akitangaza kipindi cha ngoma za asili pale RTD, Nasikia alifariki dunia mwanzoni mwa miaka ya tisini.
 
Umeulizwa, yuko wapi? Mjibu.
 
Umeulizwa, yuko wapi? Mjibu.
amakweli nyani haoni kundule mbona wewe hujamjibu......hii ni mijadala iliowazi, huibua mawazo jaadidi, ufinyu wako wauelewa unataka kunifundisha kujibu, hii si 1+1=2 hapa ni kwanini 1+1=2 ? jieleza........athari za UPE elimu ya sekondari aka voda faster.
 
Yupo Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani - based in Dar es Salaam

Anapatikana sana mitaa yake ya zamani Sinza/Mwenge
 
Bora mzee umemaliza zogo_Ona hawa hapa chini walishaanza vurumishiana maneno....

Umeulizwa, yuko wapi? Mjibu.

amakweli nyani haoni kundule mbona wewe hujamjibu......hii ni mijadala iliowazi, huibua mawazo jaadidi, ufinyu wako wauelewa unataka kunifundisha kujibu, hii si 1+1=2 hapa ni kwanini 1+1=2 ? jieleza........athari za UPE elimu ya sekondari aka voda faster.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom