Yuko wapi Ritha Kavishe? Once Miss world Bikini

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Hebu niambieni yuko wapi dada huyu baada ya kuwa ametumika na akina Chipungahelo ktk mambo ya Miss Utalii na miss world Bikini. It seems few are benefiting from all these parading and cat walking. Niliwahi kusikia dada huyu akilalamika kiasi cha kulifikisha ktk ngazi za serikali. Kweli alipata msaada wowote?

Tutawaita celeb. lakini yaonekana hawana kinga ya kazi na maisha yao.

Where is this dada Kavishe. Tunaweza tukawa na mengi ya kuandika na kujifunza toka kwa dada huyu.

Nipeni mawasiliano yake kwenye priv. msg.
 
Back
Top Bottom