Yuko wapi Ridhiwan au ndiyo amevimbiwa na maulaji?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Siku hizi sisikii habari za mwana wa mfalme Ridhiwan Kikwete hata Salma na WAMA au wanawake wa wakubwa na maulaji. Je wamevimbiwa au wamenyamazishwa na bwana mkubwa baada ya kuona wanamvurugia kwa kujiingiza kwenye deals ili hali wakijua jinsi Ben Nkapa na familia yake wanavyoishi uraiani kwa hisani ya JK? Je wamehofia kuwa mambo yanaweza kugeuka au wanazuga?
 
Back
Top Bottom