mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Kuna mwana JF hapa ambaye alikusanya maoni mengi toka kwetu kwa nia ya kuanzisha kipindi katika TV. Na moja ya malengo yake ni mambo yanayohusu jamii na kuahidi kuanza na suala la mgomo wa madakitari.
Imepita miezi sasa kumekuwa kimya, sielewi labda ni mimi tu ambaye sina taarifa kuhusu mwendelezo wa jitihada za Paskal Mayalla.
Wiki hii tena tumeingia katika mgomo wa Madr, ina maana jitihada za Paskal Mayalla kuelimisha katika mpango wake hazijasaidia.
Naomba mwenye taarifa PLZ.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!