Yuko wapi Nsa Kaisi ?

Kwa ufahamu wangu nsa kaisi alikuwa daktari wa wakina mama na watoto muhimbili,. Lakini kwa sasa ni mstaafu,. Sjui atakuwa wapi dsm au kwao mbeya
 
Kwa ufahamu wangu nsa kaisi alikuwa daktari wa wakina mama na watoto muhimbili,. Lakini kwa sasa ni mstaafu,. Sjui atakuwa wapi dsm au kwao mbeya

Kuna tofauti kati ya Prof Kaisi na Kanali Nsa Kaisi.
Prof hd 2010 alikuwa MUHAS anafundisha kwa mkataba baada ya kustaafu, na alikuwa amepooza mkono. Hajawahi kuwa RC wala DC, mkewe alipata kuwa Kabidhi Wasii Mkuu, na ndiyo wazazi wa Sarah Kaisi a.k.a Shaa, yule mwanamuziki.
Usituchanganyie habari!
 
Kwa ufahamu wangu nsa kaisi alikuwa daktari wa wakina mama na watoto muhimbili,. Lakini kwa sasa ni mstaafu,. Sjui atakuwa wapi dsm au kwao mbeya

Unamaanisha jamaa alikuwa daktari pia au ni Nsa Kais tofauti?

Nsa Kais mkuu wa mkoa wa enzi zile nilimkubali kwa jambo moja kubwa: udictator wake uliwaondoa uzembe wakulima na wafanyakazi wazembe pamoja na kudhibiti wapiga majungu kazini.
 
ukiona mtu wa siasa kipindi cha mkapa amepotea basi ujue alikua kambi ya sumaye huyooo!!

Nsa kaisi nilimuona 2006 akiwa ulaya nchi ziwezi itaja walikuwa na MKAPA NA YEYE NDIE ALIEKUWA MKUU WA PROTOCAL KUSIKILIZA MAMBO YOTE KAMA MKAPA ALITAKA KUKUTATULIA THEN ULIAMBIWA KAMUONE KAISI, KWA HIYO huyo yuko upande wa mkapa si ajabu ndie usalama wake au anasimamia foundation ya Nkapa!
 
Jembe langu hilo Col. Nsa Kaisi. Enzi zake wapiga domo, wazembe, vizazabina na vibazazi havikuwa na nafasi. Kwake ilikuwa kazi tu mwanzo mwisho!
 
Jembe langu hilo Col. Nsa Kaisi. Enzi zake wapiga domo, wazembe, vizazabina na vibazazi havikuwa na nafasi. Kwake ilikuwa kazi tu mwanzo mwisho!

Tetesi zilisikika alinunua kiwanda fulani kwenye ubinafsishaji kwa shs. Milioni 500.
Labda anaendesha kiwanda chake.
 
yuko wapi ? Kumbuka tunamzungumzia canal sio doctor.Inasemekana anaumri zaidi ya 80 na hana mtoto hata m1

Yupo Dar. Umemtafuta ukamkosa? To say he doesnt have a kid, do you know him that well? Trust my words...he is safe and sound!!!!
Huyu bwana pamoja na wenzake wengi kujaa makovu ya rushwa na ubabaishaji, he has remained clean...hata wakati wa mzee wa uwazi na ukweli. He is still a character as todate...
A word of advise....usiende kwake bila appointment,lol!
 
Ni kweli huyu bwana yupo Obay,ni kati ya viongozi ambao hawana kitu miradi yake mingi imeliwa na wajanja,na hata kama ni jamaa yake usiende kwake, bila appointment,utarudi kwako huku unamuona anakuangalia,ninachompendea huyu bwana daima kwake ni ukweli mtupu hafichi neno , wenzake aliokuwa nao ambao wana fedha ni kama vile wamemtupa,ndio maisha ya bongo urafiki mkiwa kwenye neema tu kwenye shida huwaoni
 
Namkumbuka lilikuwa bonge la jembe enzi za mwalinu. Alipokuwa mkuu wa mkoa Kagera nakumbuka hakuwa na mke wala hausugeli kwake. Tabia yake hiyo hiyo, ukimsapraizi kwake utakuta anapiga deki (akiwa mkuu wa mkoa) na akikuheshimu sana asikutoe benzi atakutole kiti chini ya mti whoever you are na ataendelea kudeki. Patakapokauka ndo atakukaribisha ndani. Nkais bwana!
 
yuko wapi ? Kumbuka tunamzungumzia canal sio doctor.Inasemekana anaumri zaidi ya 80 na hana mtoto hata m1
Acha uongo hajafikisha miaka 70 na ana mtoto 1,anaishi obay na upanga.
Na bado ni mtumishi wa uma kwenye mambo ya ushauri kwa rais kama alivyo sema Mkira
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka lilikuwa bonge la jembe enzi za mwalinu. Alipokuwa mkuu wa mkoa Kagera nakumbuka hakuwa na mke wala hausugeli kwakwe. Tabia yake hiyo hiyo, ukimsapraizi kwake utakuta anapiga deki (akiwa mkuu wa mkoa) na akikuheshimu sana asikutoe benzi atakutole kiti chini ya mti whoever you are na ataendelea kudeki. Patakapokauka ndo atakukaribisha ndani. Nkais bwana!

Nakumbuka tetesi hii kutoka kwa Dereva wake wakati akiwa Kagera: Kuna mama mmoja alichukua maziwa lita 5 eti anaenda kumpelekea nyumbani kwake, akamkuta anapiga deki, basi akaambiwa asubiri kidogo. Baada ya kumaliza Kaisi akatoka na Mugs mbili, akamwambia yule mama lazima wayanywe wao wawili mpaka yaishe kwani yeye anakaa peke yake na yule mama anajua hilo (Nasikia alikuwa Secretary wake). Basi zoezi likaanza Mama wa watu akajikuta anakunywa maziwa vikombe kibao bila kutaraijia na yaliyobaki yule mama aliambiwa aondoke nayo.

Kwa kweli alikuwa anaepuka vishawishi vya Rushwa za aina zote.
 
Kuna tofauti kati ya Prof Kaisi na Kanali Nsa Kaisi.
Prof hd 2010 alikuwa MUHAS anafundisha kwa mkataba baada ya kustaafu, na alikuwa amepooza mkono. Hajawahi kuwa RC wala DC, mkewe alipata kuwa Kabidhi Wasii Mkuu, na ndiyo wazazi wa Sarah Kaisi a.k.a Shaa, yule mwanamuziki.
Usituchanganyie habari!

Well said mkuu,..kwa nyongeza tu huyu Prof Kais kwao ni Kyela...kijiji cha Ngonga karibu kabisa na mwambao wa ziwa nyasa,...
 
Namkumbuka lilikuwa bonge la jembe enzi za mwalinu. Alipokuwa mkuu wa mkoa Kagera nakumbuka hakuwa na mke wala hausugeli kwakwe. Tabia yake hiyo hiyo, ukimsapraizi kwake utakuta anapiga deki (akiwa mkuu wa mkoa) na akikuheshimu sana asikutoe benzi atakutole kiti chini ya mti whoever you are na ataendelea kudeki. Patakapokauka ndo atakukaribisha ndani. Nkais bwana!

by that time akiwa Kagera nafikiri ilikuwa ni 1983's, inaonekana unamjua sana huyu mheshimiwa; mimi nilikua mdogo sana lkn nimekua napata taarifa zake, watu wa namna hii ndiyo wanafaa kuongoza hii nchi bwana.
 
Back
Top Bottom