Yuko wapi Lusinde?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Bunge ndio linaisha jumatatu kwa staili ambayo bado hatujaweza kuitabiri vyema. Sijabahatika kumsikia Lusinde popote. Aliwatukana cdm kuwa wamechanjwa chale makalioni. Alisema baadhi yao wamefanywa vibaya. Alisema wamejinyea.

Alisema mengi maovu. Ni wapi Lusinde alisimama na kutoa hoja ndani ya Bunge la sasa? Ni kweli hayo matusi walistahili cdm? Nafikia hatua ya pili ya kuamini kuwa watu wa aina ya Lusinde huwa wanatumiwa kama leso tu na mwisho wa siku kutupwa! Lusinde ni leso, no more no less!
 
Ameuchuna anasubiria nafasi ya kuteuliwa kuwa waziri nini?

Yuko matenite livu baada ya kujaa alumelu.
 
hujasikia leo Bi Kiroboto anaomba radhi kinafiki baada ya kumuita Mbowe, 'jambazi' kwenye hansadi?

ccm kashfa na matusi ni jadi yao.
 
Bahat mbaya sikumsikia 'live'. Hivi, baada ya kutamka neno hilo alijaribu kulirekebisha hapohapo au aliliacha kwanza mpaka baada ya kutwangwa muongozo/taarifa na Mheshimiwa ndo akaleta hayo maelezo ?
 
Mama kiroboto huwa anachapia,utacheka anapolitaja jina la Prod.kulikoyela kanalwanda kayigi na pia mbunge wa babati urban Jitu Kumar Sonir
 
Ameuchuna anasubiria nafasi ya kuteuliwa kuwa waziri nini?

Mvuta bangi yule, maneno alobwabwata jukwaani mimi binafsi ssiwezi kuyatamka. Hapo ndo mtajua kuwa malezi ya watoto wa mjini ni hatari sana!

Ukifuatilia watu wasumbufu kwenye jamii ni wale wanajifanya kuzaliwa mjini,
Ona JK, Ona Lusinde,
 
Lusinde anaunga hoja ya kutimuliwa mawaziri japo hataki kusign ktk List ya Zitto
 
Kwa ninavyojua, Lusinde hajui anafanya nini Bungeni kwa Bunge hili. Naamini hajui asimamie upande upi. Anachongoja ni majukwaa. Nilitamani kusikia akichangia chochote katika mijadala inayoishia Jtatu
 
Kwa habari za kitaa,kabla siasa hajaibaka,nimeelezwa kuwa alikuwa anafanya biashara ya kuuza supu ya makongolo na vichwa vya ng'ombe huko ndiko alipata stashahada ya juu ya matusi katika machijio ya Dodoma.
 
Back
Top Bottom