Yuko wapi Komandoo Dr. Salmin Amour?

Kibunango,

Asante kwa maelezo yako mazuri.

Ina maana Brig.Gen.Faki alikuwepo mitaani tu baada ya Jumbe kujiuzulu, au aliwekwa kizuizini?

Mahusiano yake na serikali za Mwinyi,Sheikh.Idiris,na Dr.Salmini yalikuwaje?

NB:

Kuna waziri mmoja akiitwa Dr.Taimour ali-serve wakati Mwinyi ni Raisi wa Zanzibar. Imepotelea wapi huyu bwana? je kuna makosa aliyafanya manaake amepotea ghafla mno.
 
Yakhe vipi? pilipili usio ila inakuwashia nini?

Hii pilipili kidogo niiile tena wakati ule nilikuwa mwanharakati umoja wa vijana akataka kuleta mambo yake ya eti kujiongezea muda! Upuuzi mtupu!

That's why I don't care much about him and his tactics - he is/was a bully, maybe the moniker "Komandoo"
 
Nasikia huyu mzee ni form 4 leaver tu ila ana PhD la kufoji.Wenye dataz tafadhali kanusheni au tuthibitishie hili!
 
Nasikia huyu mzee ni form 4 leaver tu ila ana PhD la kufoji.Wenye dataz tafadhali kanusheni au tuthibitishie hili!

Ni kweli mkuu Mtarajiwa. Salmin Amour ana PhD ya miezi 3 aliyoipata East Germany. Taaluma yake, kama ulivyosema, ni ya Form four.

Ndiyo maana, kama umeghundua, hotuba zake zote zilikuwa za kitoto na kihuni zisizostahili kutamkwa mdomoni mwa Rais mwenye dhamana na sehemu ya muungano, au kama wanavyopenda wao zenj kusema, "mtu mwenye dhamana ya nchi ya Zanzibar.

Maana wazanzibar wanafurahi ukiita zenj "nchi". Salmin ni kihiyo. Hilo halina ubishi. Watu wasio na taaluma, mara wanapotoka kwenye uongozi huwa wanafifia haraka sana maana hawana mchango wowote katika jamii.

Usishangae kuona Salmin hatumsikii tena. Hayo masuala ya ndoa zake sina data. Shauri yake.
 
Alitaka abadili katiba kusudi awe raisi wa maisha, eti kwa vile "watu walikuwa bado wanampenda;" teh!!!*** teh!!!*** teh!!!*** teh!!!***
 
Hakuna nyongeza katika hili, Dr. alimwoa Salma kwa kuwa alikuwa anaogembea uprez huko visiwani. Uprez ulipokwisha Salma alitafuta sanduku lake na kuishia.... Ndoa hii ilipambwa sana na Farida fashion.. nasikia yupo UK kwa sasa....

..unaajuwa farida na mama salma wote ni watoto wa mujini....wameshawahi hadi kula vichwa pale bwawani hoteli.....na wakati huo salmin alikuwa hana mke ..so he was a frequent customer at bwawani...where he was always met by salma....alopotaka urais wazee wakamwambia yeye muhuni hana mke hawezi kuwa rais ...akaamua kum peak one of his favourite darlin at bwawani...salma...so they made a deal..ndio maana urais ukaisha na ndoa kwisha.....

farida baadaye alikuja kufungua moja ya maduka ya mwanzo ya viwalo bongo.....kabla ya kuamua kuzamia uk..........
 
Hivi aliyemchukua toka Kilimanjaro/Moshi Dar es salaam street ni yupi kati ya hao?
 
Asalamu alaykum.

Nilikuwa nikiangalia maoni ya wana JF wajifarague kutoa maoni yao juu ya Komandoo Dk. Salimin Amour Juma ukweli ni kwamba Dk alikuwa amekwenda kutibiwa nchini China akisumbuliwa na mtoto wa jicho lakini baadae akachomoka mtoto mwengine katika jicho la pili kwa hivyo akalazimika kusubiriwa mtoto wa jicho la pili akue ili afanyiwe upasuaji macho yote mawili.

baada ya muda kufika akafanyiwa upasuaji macho yote mawili na akatolewa mtoto lakini wakati akisubiriwa mtoto mmoja amepewa zaidi hivyo akafanyiwa upasuaji na akaendelea kukaa huko China kwa Balozi wa Tanzania nchini humo Bw. Ramadhan Mapuri amechukua kiasi cha miezi minane ndipo aliporudi lakini sio sahihi kuwa amerudi kimya kimya kama alivyosema mjumbe mmoja humu.

Ukweli ni kuwa aliporudi watu walikwenda kumpokea na waziri wa nchi ofisi ya rais anayeshughulikia fedha na uchumi wa serikali ya mapinduzi zanzibar dk. mwinyihaji makame aliiwakilisha serikali katika mapokezi hayo huku waandishi wa habari wengi tu wlaifika na kumpiga picha na habari zake zilitoka ukurasa kwa kwanza magazeti mengi ya tanzania.

baada ya wiki moja pia alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake migombani amabko ndipo anapoishi na sio sahihi kusema anaishi mkwajuni kwao no yupo nyumbani kwake hadi leo ndipo anapoishi ila baad aya miezi miwili tokea kurudi nchini china alikwenda mwakajuni kuwasalimia wazee wa kijijini kwake huko mkwajuni kidombo.

mara ya pili ali[pokwenda tena kwa uangalizi zaidi ndipo aliporudi kimya kimya kwa kuwa hakukaa muda mrefu na alirudi lakini baadhi ya watu walikwenda kumpokea uwanja wa ndege wa zanzibar.

hali yake ya kiafya ni mzima sana kimwili lakini macho ndio yanamsumbua na haoni sawa sawa kwa kuwa amepoteza nuru ya macho kwa kufanyiwa upasuaji lakini pia age pia inachangia katika kukosa nuru ya macho ambapo mtoto mdogo akikosa nuru ya amcho inakuwa toauti na mtu mkubwa kama yeye wa umri.

kuhusu harakati za kichama ni kweli haonekani katika karakati zozote lakini ameamua kupumzika kwake na kuwaachia vijana waendelee kupiga siasa yeye anapumzika na ikifika wakati akiamua kusimama atasimama lakini sidhani kama anaweza tena kupanda majukwaa na kuhutubia.

shukran
 
habari za wakati huu kwa mara nyengine tena.

kwa hakika nilipokuwa najibu suala la dk salmin nilikuwa sijaona mjumbe mmoja aliyeuliza suala la waziri aitwae taimur ali infact sio taimur ali bali ni yaimur saleh juma ambaye alikuwa waziri wakati wa dk salmin lakini baadae salimin alimtumua kutokana na sababu mbali mbali moja ikiwa wakati fulani kulitokea mripuko mkubwa wa umeme kwneye kituo kimoja ya mtoni zanzibar hivyo jamaa wakafukuzwa kazi kwa uripukaji wa tranfommer wakihusishwa walaatamu fulani lakini wote ni wneye asili ya pemba wakiambiwa kuwa wamefanya makusudi ndio ikaripuka lakini ukweli wataalamu hao waho walikuwa wameshatoa tahadhari muda mrefu kwa serikali kuhusiana na hitilafu ambayo ingeweza kutokea kutokana na uchakavu wa vifaa lakini kamba kukatikia pabaya hivyo wakaonekana wamefanya kusudi na wakatimuliwa watalamu kibao katika shirika la umeme zanzibar kwa kisingizio cha kufanya uharibifu kumbe ilikuwa tiget ya kuwafukuza jamaa wa kipemba katika shirika hilo.

kuhusu elimu ya dk salmin Phd aliyopewa haina tofauti ya Phd ya Karume wote hawana elimu hiyo lakini sio unajua tena vyuo hujipendekeza kwa wakubwa mbona mimi hawanipi hiyo Phd? lakini ngoja nipate urais utaona baada ya miaka mitatu ya uongozi wangu nitatunukiwa Phd. any way naisubiri sikati tamaa
 
habari za wakati huu kwa mara nyengine tena.

kwa hakika nilipokuwa najibu suala la dk salmin nilikuwa sijaona mjumbe mmoja aliyeuliza suala la waziri aitwae taimur ali infact sio taimur ali bali ni yaimur saleh juma ambaye alikuwa waziri wakati wa dk salmin lakini baadae salimin alimtumua kutokana na sababu mbali mbali moja ikiwa wakati fulani kulitokea mripuko mkubwa wa umeme kwneye kituo kimoja ya mtoni zanzibar hivyo jamaa wakafukuzwa kazi kwa uripukaji wa tranfommer wakihusishwa walaatamu fulani lakini wote ni wneye asili ya pemba wakiambiwa kuwa wamefanya makusudi ndio ikaripuka lakini ukweli wataalamu hao waho walikuwa wameshatoa tahadhari muda mrefu kwa serikali kuhusiana na hitilafu ambayo ingeweza kutokea kutokana na uchakavu wa vifaa lakini kamba kukatikia pabaya hivyo wakaonekana wamefanya kusudi na wakatimuliwa watalamu kibao katika shirika la umeme zanzibar kwa kisingizio cha kufanya uharibifu kumbe ilikuwa tiget ya kuwafukuza jamaa wa kipemba katika shirika hilo.

Stone Town,
Huyo Yaimur alijiuzuru kwa madai ya Afya yake kutokuwa njema, lakini alijiondoa katika SMZ baada ya mdogo wake ambaye alikuwa engineer kukamatwa na kutiwa ndani kwa kuhusishwa na ulipuaji wa transifoma ya umeme.

Aliwahi kunukuliwa akisema,
" Ikiwa mdogo wangu hawamwamini basi hata mimi nitakuwa siaminiwi sababu upemba"
 
Huwa nachukia sana nikiangalia wapinzani wa maalim seif wote wamesema kbs lkn yeye bado yupo front page mtizame komando mtizame karudi na huyu shein wote kama hawapo vile nimejifunza kama haki sio yako iache usiibe
 
Salmini kuna kipindi alitaka kubadili katiba ili aendelee kuwa Rais
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom