Yuko wapi Janeth Sosthenes Mwenda?

chiborie

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
491
345
Wana JF, mwenye details za alipo huyu mtangazaji wa zamani wa ITV na Radio ONE,atumwagie hapa janvin, mana nilikua fan wake, alikua anatangaza vizuri taarifa ya habari, kiukwelii alikua na kipaji cha utangazaji!
 
huyu dada alikuwa anatangaza na ana sauti ya kuvutia sana alikuwa bomba, sana hata mimi nilikuwa namkubali mkuu
 
Da mkuu hata mie mwenyewe kama siku mbili zilizopita nilikua namfikiria updata ya mwisho nilisikia ameolewa na tajiri wa samaki wa mwanza,kwa sasa sijui kabisa yuko wapi::::ngoja tusikilizie majibu:::
 
Mara ya mwisho nilikutana naye Rose Garden Bar, Dodoma. Akaniomba Savanna 3 nami nikampatia bila ubishi. Wakati najiandaa kuondoka akaniambia eti hana muda wa kuwa na mtu kama mimi. Basi ikabidi niwe mpole tu na kuwasha ka-Nissan March kangu, nikaelekea Club 84 kuendeleza bata. Si unajua tena sisi ndiyo wazee wa mjini.
 
kumbe mwita 25, unaishi dodoma makao makuu.. Basi ndio sio kosa lako maana nilkuwa najiulza huyu jamaa wa msoga au?
 
Mara ya mwisho nilikutana naye Rose Garden Bar, Dodoma. Akaniomba Savanna 3 nami nikampatia bila ubishi. Wakati najiandaa kuondoka akaniambia eti hana muda wa kuwa na mtu kama mimi. Basi ikabidi niwe mpole tu na kuwasha ka-Nissan March kangu, nikaelekea Club 84 kuendeleza bata. Si unajua tena sisi ndiyo wazee wa mjini.

SIKU HIYO HUKULALA KAMA ULIVYOLALA BILICANAS MAPAKA UKAIBIWA LAKI NANE?

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/174877-bilicanas-imarisheni-ulinzi-2.html
 
maxresdefault.jpg
 
Mara ya mwisho nilikutana naye Rose Garden Bar, Dodoma. Akaniomba Savanna 3 nami nikampatia bila ubishi. Wakati najiandaa kuondoka akaniambia eti hana muda wa kuwa na mtu kama mimi. Basi ikabidi niwe mpole tu na kuwasha ka-Nissan March kangu, nikaelekea Club 84 kuendeleza bata. Si unajua tena sisi ndiyo wazee wa mjini.

Punguza ile kitu ya Arusha
 
Ni kweli aliolewa harusi ya kanisani, matarumbeta barabarani na sherehe ukumbini na honey moon walikwenda, hutaki nini sasa, mumewe alikuwa kigogo huko bandarini kwenye makontena, sijui kama bado yuko huko au vipi.

Ni kweli itv walionyesha kakipande ka arusi yake ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom