Yuko wapi Jafari Vuru Mroma

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
Huyu alikua mwanamieleka miaka ya 80 pamoja na marehemu power Bernado. Atakua mtu mzima sasa. Yuko wapi sasa?
 
Da umenikusha mbali sana, enzi za power Chaka, na kwenye ngumi kulikuwa na kina Samwel Pataul, Paul siza, Kinyogoli, Mlundwa, Charles Muhilu 'spinks' dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom