Yuko wapi Bahati Tweve?

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Nakumbuka kipindi fulani(2002-2004), kulitokea mgomo pale UDSM.
Bwana Bahati aliyekuwa mwanafunzi wakati ule alitajwa na speaker bungeni kwamba alikuwa kinara wa vurugu hizo.
Kulingana na namna ile taarifa ilivyotolewa, niliona ilikuwa na mchanganyiko wa siasa kidogo. Wahanga wa kufukuzwa vyuo huwa hawafutiki kichwani kwangu kirahisi.
Hivi yuko wapi na anafanya nini mwana harakati Bahati? Naomba kujua.
 
Nina amini hajafa,kijana mara ya mwisho nilimsikia mwaka 2010 akiwa NCCR Mageuzi,kweli huyu mwanaharakati sauti yake imezimwa.
 
Nawashukuru wote mlioleta taarifa hizi.
Big up Bahati.
 
Yupo TPDC kama legal officer ila kabadilisha jina lake lote, anajiita eti Rafaeli Mgaya, wanaotaka kumwona waende pale TPDC na usimuulize kwa jina la bahati tweve uliza Rafael Mgaya halafu inabyosemekana jamaa ni TISS hata TPDC alipata kazi kimaajabu sana. Tangazo la ajira lilitaka wenye 1st ama upper 2rd class, ye alikuwa na lower tena mbaya lakini alipata kazi.
 
2004 mgomo ule mkubwa ulitesa wanafunzi wengi na kutishia utulivu chuo.
 
Niliwahi kumuona Bahati Tweve akihojiwa na TBC kama Mwalimu....sina uhakika kama ni yeye!
 
Back
Top Bottom