Yu wapi Sitta?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
.
Are you grieving or celebrating the shake up that your party and government is going through?..........umesaini fomu ya Zitto au la??....Mzee wewe husihi vituko!!
 
amemwambia zitto ampelekee fomu usiku ili jina lake liwe la mwisho, then kesho ataenda kununua suti za kujiandaa kuapishwa kuwa PM mpya next week
 
Huwezi kufanya harakati za ukombozi ndani ya magamba. Millya ameliona hilo. Sitta na wenzake wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ni kiini macho.
 
Six ni snitch na mchumia tumbo kama kina sendeka, kilango na mwakyembe.
 
kwa mpango huu ndipo wataonekana wanaofaa kugomea urais mwaka 2015 kutoka ndani ya CCM. Nina hakika kabisa kuwa Mheshimiwa Edward Lowasa atakuwa wa kwanza kusaini kwa wabunge chama chake kudhihrisha kuwa yeye si FISADI bali ni serikali yake tu. wengine ni Akina Sita, Mwakyembe na wengine kudhihirisha kuwa wao ni wazalendo halisi na wana uchungu na nchi hii. unajua siku zote huwa njia ya mwongo ni fupi.
 
That is your wish Mzee............ Gamba ni gamba tu!!
 
Nitashangaa kama kweli SITA, Makyembe na Kilango hawatasaini petition hiyo. Baada ya matokeo yale ndo yatatumika kuwakaanga kuwa ni fake tu??!!! Msiangushe watanzania.
 
Back
Top Bottom