Yu wapi Sioi Sumari?

Yuko DSM, huwa anashuriki katika vikao vya ndani vya chama chetu, wewe hayakuhusu
 
Kwani kabla ya kugombea unajua alikuwa wapi?.
Then yupo alipokuwepo akisubiri 2015 kulipokea jimbo toka kwa Nasari, kwani ni wana CCM ndio wamemwazima Nasari hilo jimbo, 2015, atawarudishia!.
P.
 
Wana jf, mnamkumbuka yule kijana aliyegombea ubunge huko arumeru mashariki sioi sumari (ccm) Ambaye ni mkwe wa lowassa.alikuwa akigombea na kijana machachari joshua nasari (chadema) hivi yule sioi sumari aliishia wapi baada ya kubwagwa vibaya mno na joshua nasari , na kuangukia pua .kama kuna mwenye habari zake tafadhali atujuze.wale ndugu zetu wa lumumba matusi hayaruhusiwi...pia msitoke povu....
 
Yuko chumbani kwake muda huu kalala na mkewe ambaye ni mtoto wa Lowassa
 
Yule aliyetoboa sikio?

Ngoja tumwombe J Nassari aje kukujibu



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu wana jf, kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wanasiasa wa vyama mbalimbali hapa nchini kuwa na tabia ya kuonekana uchaguzi unapokaribia...ndio utawaona majukwaani wakitokwa na povu kwa kuomba wananchi kura, pia katika kipindi hicho utawaona wakiwa mstari wa mbele katika shughuli mbali mbali za chama...huku wakijifanya wana huruma na uchungu wa nchi.sasa leo wana jamvi huyu sioi sumari baada ya uchaguzi wa arumeru mashariki kumalizikika hajasikika tena, wala kuonekana katika shughuli mbali mbali za chama chake (ccm) je yuko wapi? Mbona hashirikiani na wana ccm wenzake? Na anafanya nini kwa sada? Mwenye habari zake tafadhali atujuze.Mods tafadhali usiutoe huu uzi ni X3 sasa naweka huu uzi unautoa why? PIA WANA JAMVI HASIRA AU JAZBA HAZIRUHUSIWI, MATUSI NA MSITOKWE NA POVU PIA...MTULIE DAWA IWAINGIE VIZURI.
 
Ndugu wana jf, kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wanasiasa wa vyama mbalimbali hapa nchini kuwa na tabia ya kuonekana uchaguzi unapokaribia...ndio utawaona majukwaani wakitokwa na povu kwa kuomba wananchi kura, pia katika kipindi hicho utawaona wakiwa mstari wa mbele katika shughuli mbali mbali za chama...huku wakijifanya wana huruma na uchungu wa nchi.sasa leo wana jamvi huyu sioi sumari baada ya uchaguzi wa arumeru mashariki kumalizika hajasikika tena, wala kuonekana katika shughuli mbali mbali za chama chake (ccm) je yuko wapi? Mbona hashirikiani na wana ccm wenzake? Na anafanya nini kwa sasa Mwenye habari zake tafadhali atujuze.Mods tafadhali usiutoe huu uzi ni X3 sasa naweka huu uzi unautoa why? PIA WANA JAMVI HASIRA AU JAZBA HAZIRUHUSIWI, MATUSI NA MSITOKWE NA POVU PIA...MTULIE DAWA IWAINGIE VIZURI. Nawakilisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom