Yu wapi Ndimara Tegambwage?

zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
848
223
Wakuu, mimi ni msomsji wa makala mbali mbali ambazo mwandishi mahiri, Ndimara Tegambwage huzitoa magazetini, hususan kwenye gazeti PENDWA la Mwanahalisi. Kinachonishangaza ni kuwa, kwa karibu wiki nne (kama sikosei), sijaona makala zake kwenye gazeti letu PENDWA la Mwanahalisi. Je, kuna yeyote anayejua habari za huyu mheshimiwa?
 
Back
Top Bottom