Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Daaah ni zamani sana sijamsikia huyu wakili MAARUFU kabisa,Bwa. MASUMBUKO LAMWAI,amepotelea wapi bana,manake alikua ni wakili mkali kwelikweli,alieweza kutumia weledi wake wa hali ya juu kabisa,kuwaumbua vigogo wakubwa wakubwa,akina KIHIYO etc.Yupo hai lakini au mi ndo sina habari ya amepotelea wapi????:gossip::gossip:
 
Kashazimwa kisiasa na CCM kwa kumrubuni kuj nao kama ilivyokuwa kwa Msabaha wa CUF
 
daaah ni zamani sana sijamsikia huyu wakili maarufu kabisa,bwa. Masumbuko lamwai,amepotelea wapi bana,manake alikua ni wakili mkali kwelikweli,alieweza kutumia weledi wake wa hali ya juu kabisa,kuwaumbua vigogo wakubwa wakubwa,akina kihiyo etc.yupo hai lakini au mi ndo sina habari ya amepotelea wapi????:gossip::gossip:
kuna thread nyingi sana humu ndani zinamuhusu lamwai wewe tafuta tu.
 
Last week nilimuona kwenye filling station moja city centre akijaza mafuta kwenye gari yake. Ni ile Land Cruiser yake aliyoipata akiwa Mbunge wa Ubungo enzi zile.
 
Daaah ni zamani sana sijamsikia huyu wakili MAARUFU kabisa,Bwa. MASUMBUKO LAMWAI,amepotelea wapi bana,manake alikua ni wakili mkali kwelikweli,alieweza kutumia weledi wake wa hali ya juu kabisa,kuwaumbua vigogo wakubwa wakubwa,akina KIHIYO etc.Yupo hai lakini au mi ndo sina habari ya amepotelea wapi????:gossip::gossip:

Anafundisha tumaini university campus ya kurasini
 
Jamaa hupo na gari lake aina ya Parejo alilopata wakati hule,Mdogo wake sasa mbunge aliyemgalagaza pesa mbili mramba
 
Yupo mjini anaendelea na kazi yake ya uwakili kama kawaida, ile Land Cruser mkonge ameipaki siku hizi anatumia Suzuki Grand Vitara ya Blue na anaishi maeneo ya Sinza kwa Remmy.
 
Huyu bwana anafundisha sheria Tumaini University na nafikiri ndiyo Dean wa kitivo cha sheria campus ya Kurasini.
 
unamtakia nini, si yuko pale university of tumaini kule kurasini, dean wa faculty of law? au nenda kaulizie pale utamkuta...choka mbaya...
 
Yaani jamaa asingejiingiza kwenye siasa angekuwa mbali sana. Ni mmoja kati ya mawakili walokuwa juu 80s. Mshika mbili.
 
Daaah ni zamani sana sijamsikia huyu wakili MAARUFU kabisa,Bwa. MASUMBUKO LAMWAI,amepotelea wapi bana,manake alikua ni wakili mkali kwelikweli,alieweza kutumia weledi wake wa hali ya juu kabisa,kuwaumbua vigogo wakubwa wakubwa,akina KIHIYO etc.Yupo hai lakini au mi ndo sina habari ya amepotelea wapi????:gossip::gossip:

1123.jpg

Huyu jamaa akiwepo na akina Mabere Marando mwaka 1995 walileta mapinduzi makubwa kweli kwenye siasa ya vyama vingi hata mimi sintamsahau!
 
Back
Top Bottom