Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Dr. Masumbuko Lamwai kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Faculty of Law) cha Chuo Kikuu cha Tumaini tawi la dar es Salaam. Pia bado anaendelea na kazi yake ya Uwakili na nafikiri bado ndiye wakili mkuu wa CCM. Kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika taaluma lakini nafikiri alimsaidia kwa hali na mali mdogo wake Joseph ili aweze kushinda ubunge wa Rombo.

Kama ni kweli alimsaidia dogo he is gentleman. Asante Lamwai lakini kitendo chako cha kurudi ccm kiliniuma sana maana 1995 election nilikuwa wakala wako wa kuhakikisha kura zako manyangau hayaibi . Ukiweza tubu uje Chadema usaidiane na Tundu Lissu
 
Masumbuko Lamwai kaka yake Selasini MB aliemwangusha Mzee wa kula nyasi siku hizi yupo CCM na ni mwanasheria wa chama!
 
Ukishaiasi CCM usijedanganywa ukarudi maana utakuwa huna la kuwaambia watu kama ndugu yangu Tambwe Hiza siku hizi yuko wapi, tokea ajeruhiwe TMK kura za maoni amekuwa kimya sana waambieni na hawa jamaa wenye mbwembwe za kutaka kuhama wakifikiri wao ni maarufu.

Peoples Power
 
10001109.jpg
 
hili swala la kunyanganywa vyeti nalo ni kukurupuka lamwai alifungiwa kupractice kutokana na uzembe katika kuwakilisha wateja wake ikumbukwe lamwai ni wakili na kuna sheria zinazosimamia taaluma ya uwakili na katika hizo ndugu lamwai alihukumiwa nazo!
 
Huyu jamaa anaongea kwa sauti kubwa sana. Nakumbuka wakati bado ni lecturer pale UDSM ukipita nje ya jengo la kitivo cha sheria kama alikuwa anafundisha basi lazima umsikie hadi nje.....
 
hili swala la kunyanganywa vyeti nalo ni kukurupuka lamwai alifungiwa kupractice kutokana na uzembe katika kuwakilisha wateja wake ikumbukwe lamwai ni wakili na kuna sheria zinazosimamia taaluma ya uwakili na katika hizo ndugu lamwai alihukumiwa nazo!

Lenana uko sahihi. Tanzania Law Society (TLS) walimsimamisha ku practice kutokana na tabia yake sugu ya kupokea pesa za wateja na kutokwenda au kutuma wakili mbadala mahakamani KUWAWAKILISHA. Mhanga mmoja (just a lay man) alimshitaki TLS, na akamuadhiri.

Nashangaa ninaposikia yupo Tumaini University (Dar campus).... Alitimuliwa UDSM kwa academic negligence; toka aajiriwe hakuwahi kupanda cheo; alikuwa ni Asst Lecture toka aajiriwe UDSM mpaka anatoka (for more than 20 years). Hajawahi kuandika paper au kufanya research toka awe Phd holder. What a Doctor....
 
Jamaa bado yupo imara sema tu CCM wameamua kutompandisha kwenye majukwaa ya siasa. Nadhani CCM walimchukua tu ili kumnyamazisha maana alikuwa ni mwiba mkali kwa CCM. Jamaa naye kaamua kunyamaza ili yaishe.
 
Lenana uko sahihi. Tanzania Law Society (TLS) walimsimamisha ku practice kutokana na tabia yake sugu ya kupokea pesa za wateja na kutokwenda au kutuma wakili mbadala mahakamani KUWAWAKILISHA. Mhanga mmoja (just a lay man) alimshitaki TLS, na akamuadhiri.

Nashangaa ninaposikia yupo Tumaini University (Dar campus).... Alitimuliwa UDSM kwa academic negligence; toka aajiriwe hakuwahi kupanda cheo; alikuwa ni Asst Lecture toka aajiriwe UDSM mpaka anatoka (for more than 20 years). Hajawahi kuandika paper au kufanya research toka awe Phd holder. What a Doctor....

Unatoa uthibitisho wenye mamlaka gani ili tuamini hiki unachotuambia? Hatuwezi kuamini hadi utakapotoa source ya habari hii imbayo itakuwa na ''mamlaka''.
 
hili swala la kunyanganywa vyeti nalo ni kukurupuka lamwai alifungiwa kupractice kutokana na uzembe katika kuwakilisha wateja wake ikumbukwe lamwai ni wakili na kuna sheria zinazosimamia taaluma ya uwakili na katika hizo ndugu lamwai alihukumiwa nazo!

Ukumbuke yote hayo alifanyiwa kwa sababu za kisiasa,akuchungulia katiba akaona inamruhusu kuprctise ZNZ akafanya kwa muda nako wakampiga ban.Pamoja na hayo wakamnyima nafasi ya kufundisha UDSM,hivyo cha moto alikiona hadi aliporudi CCM ndio wakamruhusu tena kupractise.
 
Hivi huyu traitor yuko wapi? (Masumbukuo wa Lamwaii) bado anajishugilisha na siasa?
 
Hivi huyu traitor yuko wapi? (Masumbukuo wa Lamwaii) bado anajishugilisha na siasa?

kwa mara ya mwisho nilimsikia mwaka 2005 akijaribu kumpigia debe mkapa ili awe raisi wa maisha TZ, lakini mkapa mwenyewe akammwambia 'acha unafiki', tangu apo ajasikika tena
 
Back
Top Bottom