Yu wapi malaria sugu?

Naloli

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
416
81
Kipindi cha kampeni hadi kipindi cha kupiga kura ambapo zoezi la uchaguzi lilikamilika, kulikuwa na wapiganaji wa CCM wakitetea chama chao hata ktk mambo yasiyostahili utetezi, kiasi watu wakawa wanatilia shaka ufahamu wao. Baada ya zoezi la uchaguzi mkuu kukamilika baadhi yao wametoweka na tumebakiwa na JEYKEY WA UKWELI, MTU WA PWANI na wengineo je Huyu MALARIA SUGU mpiganaji wa CCM aliyetubeza kuwa Baada ya Uchaguzi mkuu wale SUPPORTERS wa DKT SLAA na upinzani hasa CDM hawataonekana hapa JF. Nakumbuka "nilimwambia kuwa sisi ni watetezi wa ukweli na haki, natunamsupport mtu tuaminie ndie mtetezi wa wanyonge na suluhisho la UFISADI na hata CCM wakiiba kura sisi tuteendeleza mapambano humu JF na nchi nzima na kampeni za DKT SLAA ndio zimewasha moto wa mapambano rasmi". Sasa uchaguzi umepita wapiganaji bado tupo humu JF lakini ajabu MALARIA SUGU katoweka yeye, JE kazi aliyotumwa humu JF ameimaliza?
 
yes .... MS akA Zomba ...lakini ana genge kubwa sana .... kina Kishongo., CITYBOY, Topical, BULLDOZER, JEYKEYWAUKWELI., muhogomchungu, na Mwiba ..... Dar es salaam naye sijui yupo wapi
 
Malaria sugu anatafutwa na wengi ili wamuulize maswali.

Hatakawia kusema ile dini isiyokuwa yake ndio imeleta fujo Misri, Tunisia, Libya na pengine ghasia za nchi zote za kiarabu. Kwa mtazamo wa MS mataizo yote ya dini yake yanaletwa na dini nyingine. Msimamo wake huu ndio unaomfanya kila makosa ya kisiasa kuyaambatisha na dini ya kiongozi. Wanaomkataa Gadaf ni wa dini gani? Wakati mwingine matendo ya kisiasa hayafungamani na dini.

Tujenge nchi yetu kwa umoja na amani. Watanzania wamechoka na amani lakini juzi kati mabomu ya Gongo la Mboto tu wametawanyika kama kumbikumbi je Tanzania ndio ingekuwa somalia!!!!!!!! Tulinde amani.
 
Malaria sugu wamemnywesha Alovela na mwarobaini pengine amepona kwani dawa zote zilishindwa kumpa tiba ya kudumu. Ngoja tusikilizie kama ataibuka tena basi tutahitaji kumpa dozi zaidi.
 
Ms kafa jamani. Mnatakiani nini?

Yuko hapa...tehe tehee

KABURI1.jpg
 
Kipindi cha kampeni hadi kipindi cha kupiga kura ambapo zoezi la uchaguzi lilikamilika, kulikuwa na wapiganaji wa CCM wakitetea chama chao hata ktk mambo yasiyostahili utetezi, kiasi watu wakawa wanatilia shaka ufahamu wao. Baada ya zoezi la uchaguzi mkuu kukamilika baadhi yao wametoweka na tumebakiwa na JEYKEY WA UKWELI, MTU WA PWANI na wengineo je Huyu MALARIA SUGU mpiganaji wa CCM aliyetubeza kuwa Baada ya Uchaguzi mkuu wale SUPPORTERS wa DKT SLAA na upinzani hasa CDM hawataonekana hapa JF. Nakumbuka "nilimwambia kuwa sisi ni watetezi wa ukweli na haki, natunamsupport mtu tuaminie ndie mtetezi wa wanyonge na suluhisho la UFISADI na hata CCM wakiiba kura sisi tuteendeleza mapambano humu JF na nchi nzima na kampeni za DKT SLAA ndio zimewasha moto wa mapambano rasmi". Sasa uchaguzi umepita wapiganaji bado tupo humu JF lakini ajabu MALARIA SUGU katoweka yeye, JE kazi aliyotumwa humu JF ameimaliza?

Kachakacha!
 
Malaria Sugu ilizikwa kitambo ingawa kilochokufa ni jina....Roho yeye kama mtu na fikra zake bado yu hai..
 
Kipindi cha kampeni hadi kipindi cha kupiga kura ambapo zoezi la uchaguzi lilikamilika, kulikuwa na wapiganaji wa CCM wakitetea chama chao hata ktk mambo yasiyostahili utetezi, kiasi watu wakawa wanatilia shaka ufahamu wao. Baada ya zoezi la uchaguzi mkuu kukamilika baadhi yao wametoweka na tumebakiwa na JEYKEY WA UKWELI, MTU WA PWANI na wengineo je Huyu MALARIA SUGU mpiganaji wa CCM aliyetubeza kuwa Baada ya Uchaguzi mkuu wale SUPPORTERS wa DKT SLAA na upinzani hasa CDM hawataonekana hapa JF. Nakumbuka "nilimwambia kuwa sisi ni watetezi wa ukweli na haki, natunamsupport mtu tuaminie ndie mtetezi wa wanyonge na suluhisho la UFISADI na hata CCM wakiiba kura sisi tuteendeleza mapambano humu JF na nchi nzima na kampeni za DKT SLAA ndio zimewasha moto wa mapambano rasmi". Sasa uchaguzi umepita wapiganaji bado tupo humu JF lakini ajabu MALARIA SUGU katoweka yeye, JE kazi aliyotumwa humu JF ameimaliza?

Hata kule Facebook walikuwepo kibao wakichafua na kutukana kwenye wall ya Slaa na mnyika. Nadhani ni hao hao ila walikuwa wakitumia majina kama vile jinomswakiwanini, kuna mjahidina mwingine alikuwa akijiita francis muro na wengine walikuwqa na majina ya kiarabu. Wameona watu wamewapotezea nao hawaonekani tena.
 
alikula BAN kwa kuendeleza propaganda za sisiemu kwenye kijiwe cha chadema!

Acha porojo wewe! CDM wana kijiwe gani ambacho MS alikivamia? Ninavyohisi walimpiga BAN kwa sababu alikuwa anapenda sana kuleta threads za Udini humu!
 
Back
Top Bottom