Yu Wapi: Kapteni Abubakar Ibrahim Nkya Former Chief of Protocal Ikulu

Kaldinali

JF-Expert Member
May 25, 2012
263
144
Hivi huyu Mzee aliishia wapi. Nakumbuka aligombea ubunge na Tycoon Philemon Ndesamburo mwaka 1995 na kushindwa vibaya. Baada ya hapo akaenda kuwa mkuu wa itifaki ofisi ya Rais Ikulu. Mara ya mwisho nilisikia alifukuzwa kazi na Rais (Mkapa) baada ya kumzuia balozi wa Marekani asiende kuaga mwili wa Nyerere (kwenye mazishi) or something like that. Mwenye data please tujuze dondoo za huyu mzee na aliishia wapi.
 
Duuh! Kumbe bado iko njema.

Nilimjua briefly wakati wa kampeni zidi ya Ndesamburo. I thought he was smart but i didnt know what to make of him. Alituambia angeshinda tu yeye ndio angekuwa Minister of Foreign Affairs kwakuwa yeye na Mr. Clean walikuwa wanaelewana sana. I also believe that jamaa ni Spy au X-UWT.

Pia jamaa ana mke mzuri sana kama Dennis Kucinichi. LOL!
 
Hivi huyu Mzee aliishia wapi. Nakumbuka aligombea ubunge na Tycoon Philemon Ndesamburo mwaka 1995 na kushindwa vibaya. Baada ya hapo akaenda kuwa mkuu wa itifaki ofisi ya Rais Ikulu. Mara ya mwisho nilisikia alifukuzwa kazi na Rais (Mkapa) baada ya kumzuia balozi wa Marekani asiende kuaga mwili wa Nyerere (kwenye mazishi) or something like that. Mwenye data please tujuze dondoo za huyu mzee na aliishia wapi.
 
Attachments

  • 8D2E31D1-4772-4956-8DA4-926FBE11EBDC.jpeg
    8D2E31D1-4772-4956-8DA4-926FBE11EBDC.jpeg
    92.5 KB · Views: 17
Ana mtoto wa mdogo wake, jamaa alikua muungwana sana na mtu wa ibada swala 5. Alikua mshkaji wa mchizi wangu.

Mzee apumzike kwa amani. Sote tutarejea njia ni moja.
 
May his soul rest in peace, amen

namwomba Mwenyezi Mungu awaweke mbali, wabinafsi na wenye tamaa na uchu wa fedha wote, wasinyemelee na kuua biashara alizoacha marehemu, ili wafanye wao wajitajirishe. Amen.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom