Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Salam wanaJF.
Naomba kujuzwa na mwenye taarifa za mwanahabari huyu na anashughulika na nini sasa,
nawaclisha waheshimiwa.
Naomba kujuzwa na mwenye taarifa za mwanahabari huyu na anashughulika na nini sasa,
nawaclisha waheshimiwa.
Wazee wa Bukoba wanaifahamu hii story ya huyu mwandishi wa habari kutoka Rwanda.
Mwaka 1996 baada ya kesi ya mauaji ya Kimbari kupamba moto,inasemekana huyu mdau alikimbilia Tanzania kuendelea na shughuli zake kama kawaida.
Kesi ilivyopamba moto Kabendera shinani siku moja alichukua usafiri wake mpaka maeneo ya custom Bukoba akapaki mahali hapohapo maeneo ya bandari halafu yeye akajitupa kwenye kina kirefu cha maji na umauti ukampata .