Yu wapi IRENE Ngowi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
She is one of the most beautiful model Tanzania ever produced where is she nowadays?

attachment.php
 
Attachments

  • Dar es Salaam-20111223-00320.jpg
    Dar es Salaam-20111223-00320.jpg
    496.4 KB · Views: 1,064
mnh wewe ni paparaza wa magazeti ya udaku nini?ujue yuko wapi ili iweje?? kaamua maisha yake yawe private heshimu ilo otherwise angetaka kila mtu ajue ishu zake ungekuwa ushamsikia.
 
Mara ya mwisho nilimuona Quality Plaza yupo na bwanake wa kiarabu. Anaonekana kama ana kaujauzito fulani hivi.
 
She is one of the most beautiful model Tanzania ever produced where is she nowadays?

Mkuu huwa nakuheshimu........
Kuna mtu alisema juzi kuwa alipotoka Makongo secondary basi aka.... na mume wa mtu, ngoja aje tumsikie (kama hajakimbilia Mgombani kwa Xmas)
 
Mmh si yule aliyeshiriki Face of africa.. kama ndie huyo,hiyo picha hapo juu sio ya Irene ngowi..otherwise sijui yupo wapi.
 
Mkuu huwa nakuheshimu........
Kuna mtu alisema juzi kuwa alipotoka Makongo secondary basi aka.... na mume wa mtu, ngoja aje tumsikie (kama hajakimbilia Mgombani kwa Xmas)
Mkuu Irene alifanya vizuri kwenye shindano kubwa sana.namfahamu kipindi anasoma pale Makongo,kaulize hata walimu wa pale wakwambie! Yule binti ana nidhamu ya pekee hasa kwa mazoea yetu hapa Bongo mtu akipata tu umaarufu.mikataba aliyoingia na fedha aliyovuta Face of Afrika ingempa kichaa maana ametokea familia ya kawaida sana! Tunampongeza kama mfano wa kuigwa,magazeti ya udaku yalimshindwa kumchafua sababu pia sio mtu wa starehe usiku kivile.kama tulivyo wote tunamapungufu hata yeye anayo yake lakini lazima tutafute watu maarufu ambao watoto wetu watajifunza kwao maana celebraties wana influence kubwa sana kwa vijana na hawa wengi waliopo aibu tupu! Hongera sana Irene Ngowi kwa staha na nidhamu kama mfano wa kuigwa!
 
Sio huyu uliyempamba kwenye one of the threads na kuna mwana JF mmoja akakujibu na kusema amezaa na mume wa mtu?

Have you see her recently? Mind you, in one year, a lot coulh have happened
I am not suggesting anything, but looking for facts.
 
wakina Wema hawawatoshi?mwacheni binti wa watu aishi maisha yake na sio kumpekua
 
Sio huyu uliyempamba kwenye one of the threads na kuna mwana JF mmoja akakujibu na kusema amezaa na mume wa mtu?

Do you have her latest information? Mind you, one year makes a big differnt for a human being?
I am not suggesting anything, but looking for facts (as long as there is a threat on her)
Jamani hizi lugha za watu kama hatuwezi ni bora tuachane nazo! Tutapata aibu zisizo na msingi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom