Yu Wapi FMES???????

Ila kweli tumemmisi mzee wa sauti ya umeme na habari zake za ki-field marshal. Uko wapi mpiganaji? Jitokeze bana! Tunakukosa katika kipindi hiki ambapo tunahitaji sana mchango wako.

WAZEE WA SAUTI YA UMEME

Bwaha hahaha
 
Nyani Ngabu nae yuko wapi?
ha ha ha aha!
naomba nisepe kwenye hii sredi maanake YOU ARE OPENING A CAN OF WORMS

ADIOS...!
wengine tukipigwa ban ndo imetoka maanake hatuna aidii mbili
SEE YOU GUYS...
nitakuwepo kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa
 
ha ha ha aha!
Naomba nisepe kwenye hii sredi maanake you are opening a can of worms

adios...!
Wengine tukipigwa ban ndo imetoka maanake hatuna aidii mbili
see you guys...
Nitakuwepo kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa

see you in the pack of worms
 
Back
Top Bottom