Yu Wapi FMES???????

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Ningependa kujua madu huyu yuko wapi siku hizi?......banned?.....au amedaili identity(ningejua hili kutokana na kuzoea hoja zake)
 
HEHEHE!
NIPO HAPA mkuu,nimebadili aidii

ubarikiwe sana,RESPECT!

NITAKUJA NA DATAAZ VERY SOON

bwah ha ha ha ha!
 
Ila kweli tumemmisi mzee wa sauti ya umeme na habari zake za ki-field marshal. Uko wapi mpiganaji? Jitokeze bana! Tunakukosa katika kipindi hiki ambapo tunahitaji sana mchango wako.
 
ha ha ha ha!
GEOFF IS NO MORE

R.I.P GEOFF
Acha utani bana! Naogopa tu ile sheria ya NAME CALLING, ila signature ya Geoff inajulikana kwa mirangi rangi ya zambarau. Au nijitoe mhanga kuvunja sheria ya name calling? Hautamind nikikutaja Geoff ulipo? Au nikutaje? Si ndo yule "I love You" in Spanish ?!
 
taraatibu mkuu.....!
ataenda kulia lia kwa invizibo:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Back
Top Bottom