Yu wapi ADAM MALIMA?

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Yule jamaa wa pete kibao aliyeporwa everything pale moro yuko wapi mbona kimya? uchunguzi wa wezi wake umefikia wapi?mwenye kujua atuambie
 
Kwa taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba kaenda India kwene matibabu ya moyo ya mke wake, usiniulize source
 
Yupo Dubai kwa leo baada ya kumaliza matibabu, wananunua vifaa vya nyumbani kidogo.
 
Ameenda kwenye manyanga hili issue zake mzisahau si umeona wiki tatu nzima zimepita bila kutajwa!
 
nimemuona mitaa ya migo kwa sonara anachongesha mipete ya vidole vya miguu
 
Back
Top Bottom