yoyote yule anayatake ni mtengeneze computer yake

Jamaa nadhani anatengeneza online ndo maana kabana eneo aliko na simu.

na wewe umenivunja mbavu!!, wacha nirudi ndani kupumzika si unajua niko vacation mkuu!.
icon10.gif
 
asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu

Unamaana bei zako ni nafuu kulikomafundi wengine? kama ndiyo, basi nawasiwasi na ufundi wako kwa sababu zifuatazo.

1:Yawezakana ndo umeingia sokoni na unaujuzi wa kutosha na unachofanya. (uliombwa CV yako lakini bado naona limekushinda)

2: Spare unazotumia ni bandia - za Kuchina - samahaani namaana za kichina

3: Unatafuta watu wakuletee computer zao ili uchomoke nazo upate mtaji (uliulizwa eneo na cm yako bado naona imekua kigugumizi kutoab jibu)
 
na wewe umenivunja mbavu!!, wacha nirudi ndani kupumzika si unajua niko vacation mkuu!.
icon10.gif

wewe si ulituaga wenda vacation na memsaph??? saa JF wafanya nini tena?? ama tayari mmeanza kuchoshana tayari???? vacation means no Internet no JF! utakuwa kati ya wale wenye addiction mbaya sana!
 
wewe si ulituaga wenda vacation na memsaph??? saa JF wafanya nini tena?? ama tayari mmeanza kuchoshana tayari???? vacation means no Internet no JF! utakuwa kati ya wale wenye addiction mbaya sana!

Hasa addiction ya JF,ni mbaya mno kiasi kwamba watu wanashindwa kuongea na significant others.... maana kuna thread za kufa mtu humu.
 
Waungwana naona huyu mwenzetu mambo ya biashara hajui kabisa,unatangaza kutoa huduma ya aina halafu.Then hutaki kusema unapatikana wapi au watakupataje hao wanaopenda huduma yako,mh!!!!!
 
wewe si ulituaga wenda vacation na memsaph??? saa JF wafanya nini tena?? ama tayari mmeanza kuchoshana tayari???? vacation means no Internet no JF! utakuwa kati ya wale wenye addiction mbaya sana!

Hasa addiction ya JF,ni mbaya mno kiasi kwamba watu wanashindwa kuongea na significant others.... maana kuna thread za kufa mtu humu.

there is no life without JF!.
 
[COLOR=Red said:
mrlonely;583517]asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu[/COLOR]

Thanks mkuu kwa bandiko.Ila inabidi uangalie bandiko lako na kuliweka sawa,
vinginevyo unaweza kupoteza wateja sana.
Plz weka wazi cv yako.
 
Kwahiyo mnataka kuaminisha wasomaji wote hapa jf kwamba cv ndio kitu muhimu kuliko vyote ? Ikiandikwa vizuri tu basi ameula ?
 
Kwahiyo mnataka kuaminisha wasomaji wote hapa jf kwamba cv ndio kitu muhimu kuliko vyote ? Ikiandikwa vizuri tu basi ameula ?

hakuna mtu anayemfahamu, cv ni kitambulisho chake, japo hata kitambulisho kinaweza kuwa fake!! lakin sisi tutajuaje ufundi wake?...labda ana uwezo wa kubadilisha hiki na kile na anajiita fundi!!! teh teh, tunataka aseme ana ujuzi gani amesomea wapi. hapa kuna watu wa kila aina, anaweza kupata kazi hapahapa akajishangaa! teh teh. sawa yeye ni FUNDI
 
Back
Top Bottom